Mockingbird
JF-Expert Member
- Jan 11, 2018
- 434
- 1,043
Shunie mm sio mnyonge. Ila stress za maisha zinaweza kukufanya Ukakosa amani. japo twaendelea na mapambanoHabari za mchana nzuri sana sijui kwako usiwe mnyonge jamani hata Mungu hapendi ndio maisha hakuna namna
