Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Ramadhani Juma la Kati

Ninakusalimia wewe ndugu yangu unayelifanya jukwaa hili kuwa la kipekee kabisa, najua majukumu yanakutinga na unakuja humu kwa machale, hakuna ubaya, uzuri ni kuwa uwepo wako humu unafanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Asante SHIMBA YA BUYENZE , Tumosa , Shunie , husna muba , Madame S , Bitoz , shululu , Lyon Lee , mbalizi1 , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , sweetlee , ABJ , moneytalk , demi , O'Brian , omarion5 , Da'Vinci , BlessedHope , Sakayo , Transcend , dumejeuri , Mkushi wa kusi , Tetramelyz , EMMYGUY , Valentina na wewe ambaye unanisoma muda huu.

Muziki sasa, nikutakie wiki njema na yenye tabasamu kila unapotoka na kurudi

Asante binamu
 
Una bahati sana umenitaja! Nilikuwa nisuse kukuja huku
 
Safi Brian za wewe kuna sehemu nilikukuta jukwaa la malalamiko kumbe we ni wa zamani jamani I'd yako ya zamani ilikuwa inaitwaje nilikukuta unamzungumzia malaria sugu
Nimekua Natumia Jf kama Guest/robot toka 2013 Nilikua nachungulia tu natoka kama kuna kitu natafuta naingia jf kutafuta. Hadi 2018 baada ya kuona sina vitu vinavyoniziwa kutumia Social networks ndo nikaingia jf lasmi. ila nilikua nawasama tu akina malaria sugu,watu8,ritz,ngabu,Yoyo
 
Ooh sawa Brian nimefurahi kusikia hivyo jamani basi nikajua uko na I'd ya kongwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom