AlphaPii
JF-Expert Member
- May 15, 2015
- 1,169
- 1,853
Hata mimi niliiona ile comment.Ikabidi nchungulie profile yake nijue ni wa lini kumbe kaweka '...view limitation'.Safi Brian za wewe kuna sehemu nilikukuta jukwaa la malalamiko kumbe we ni wa zamani jamani I'd yako ya zamani ilikuwa inaitwaje nilikukuta unamzungumzia malaria sugu
Unajua hata mimi nilianza kutumia JF kama guest tangu 2012 nikawa mwanachama 2016.
