Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si tatizo lako pekee ako, bora ww unaperuz jf unakosa notifications, wengine hailog in au thread hazifunguki.
Good morning mkuu
Kuna namna ya kulog in now..

Lazima ulogin kwa browser kwanza then ndio ulog in kwa App.

For the first time ukilog in kwa browser kuna mahali lazima uweke kuwa unakubaliana na sheria za Jf ndio ulog in ...then uje kwenye app ulogin tena.

Cc Sakayo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom