Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna namna ya kulog in now..

Lazima ulogin kwa browser kwanza then ndio ulog in kwa App.

For the first time ukilog in kwa browser kuna mahali lazima uweke [emoji818] kuwa unakubaliana na sheria za Jf ndio ulog in ...then uje kwenye app ulogin tena.

Cc Sakayo
Nafahsmu hilo mkuu
BTW mimi situmii App na sitothubutu kutumia app
 
Back
Top Bottom