mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,955
- 43,388
Ni njemaHabari ya asubuhi wapendwa
Nawatakia wkend njema
Asante
Nawe pia
Ni njemaHabari ya asubuhi wapendwa
Nawatakia wkend njema
Nawe pia shemelaHabari ya asubuhi wapendwa
Nawatakia wkend njema
Basi sawa shemela.Hapa hakuna jipya shemela
Asante shemelaNawe pia shemela
Nimekuita wapiWe apo
Pole sana unakosaje mpenzi jamani wanawake wote waliojaahahaaaa hii mpya shuni kwangu. Sina mpenz shuni hata wa kuniambia pole hakuna.
Maka za wewe hivi unanichunia qoute zangu auNawe pia shemela
Sio kila mwanamke anatakiwa awe mpnz au mke shuniiPole sana unakosaje mpenzi jamani wanawake wote waliojaa
Nimekuelewa mkuu kikubwa ni umakini na kumuomba sana Mungu akufunulie mke au mpenzi wa kukufananiaSio kila mwanamke anatakiwa awe mpnz au mke shunii
Aminaaa Ngoja nimsubir huyo mpenz Mungu atakayenipaNimekuelewa mkuu kikubwa ni umakini na kumuomba sana Mungu akufunulie mke au mpenzi wa kukufanania
Ameen na kingine usikate tamaa kabisa na uwe na imani na unachoombaAminaaa Ngoja nimsubir huyo mpenz Mungu atakayenipa
WeweeeMtafutie![]()
![]()
![]()
ShikamooWeweee
Unanitafutaa nn jaman ..msalimie shululuShikamoo
Namsalmia,dada yko hajamboUnanitafutaa nn jaman ..msalimie shululu