Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,043
Poa habari ya wewe T
Poa habari ya wewe T
Hivi binamu ilikuwaje kumwambia mjomba ako nimemwita kaka lini mimi nilimuita kaka lakini binamu
Kama ulijua bado nipo uliponiachaa kwa taarifa nshatoka na naona unachotala kusababisha..unadhani hata mimi najua basi!! Sikumbuki kabisa wewe kumuita anko wangu kaka. Watu wana maneno sana, nilijiuliza sana ujue wanataka tu wakugombanishe na mumeo.
Nilishangaa sana anko aliposema eti ulimuita kaka. Au ni njama tu za anko ukasirike akutulize kisha akutambulishe mke mpya aliyempata kwenye ramadhani
Binamu popote ulipo jileteee una kesiii Obe puliziii kamuu zisii weiiii
Unambie kwa nini bi ashura umempa nambq zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na aunt kwanza ...kwa nini umenisalitiiii tulipanga nini ?? Kwa taarifa yako nimetuma picha yako kimakosa ila maksudi kwa yule wa kule chini ...kesho utakomaa...duh anko, ilikuwa balaa, alinikaba sana na alinitishia mambo mazito ikabidi nimpe namba zako, ila nilimpa zile ambazo aunt hazijui so usiwe na wasiwasi
Mkuu..Binamu popote ulipo jileteee una kesiii Obe puliziii kamuu zisii weiiii
Unambie kwa nini bi ashura umempa nambq zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongoziiiii
Ahsanteni sanaaa...umemisika pia humu
Binamu upoje kwani akioa ndio inakuwaje..unadhani hata mimi najua basi!! Sikumbuki kabisa wewe kumuita anko wangu kaka. Watu wana maneno sana, nilijiuliza sana ujue wanataka tu wakugombanishe na mumeo.
Nilishangaa sana anko aliposema eti ulimuita kaka. Au ni njama tu za anko ukasirike akutulize kisha akutambulishe mke mpya aliyempata kwenye ramadhani
Hahahaha haya bwana...yeah, hongera kwa malezi.
Wengine tunalea vitambi, si kazi ndogo pia