ABJ
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 4,947
- 13,864
Mmm me najuaga anamjukuu m1 kumbe wote[emoji3]woooiBora umwambie jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmm me najuaga anamjukuu m1 kumbe wote[emoji3]woooiBora umwambie jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu si umeshamalizia...malizia sentensi nzima, sema mjukuu wake wa kiume
SawasawaMrejesho hakuna acc nimeshafunga mie labda siku nikiifungua
Ndio
Ndio wetu wote [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...malizia sentensi nzima, sema mjukuu wake wa kiume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu si umeshamalizia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama hajambo binamu
Au mke mwee nimekosea jamani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi binamu ilikuwaje kumwambia mjomba ako nimemwita kaka lini mimi nilimuita kaka lakini binamu..yeah, imebidi nimalizie kabisa maana wakija wenye akili za mjomba wangu hawachelewi kusema mimi ninashiriki njama za babu kwako, wakati mimi mara zote niko upande wa kaka wa mama yangu
Woyooooo...uongo dhambi, hajambo sana, anazidi kupendeza tu yaani kuna wakati hata najihisi sijafunga yaani kila nikimuangalia najihisi kufuturu tu
Shukrani mkuu.Transcend nimeuona, uko Jukwaa La Kimataifa (International Forum) na alitupia Synthesizer saa 1:02pm kwa saa za hapa
Mhudumu wa kike wa maabara hospitali ashitakiwa kwa kuzaa na maiti
Wacha nikajionee maajabu mkuu.Transcend nimeuona, uko Jukwaa La Kimataifa (International Forum) na alitupia Synthesizer saa 1:02pm kwa saa za hapa
Mhudumu wa kike wa maabara hospitali ashitakiwa kwa kuzaa na maiti
Mke mwee nimekutana na moneytalk jukwaa la chini naona ndio kaingia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mama hajambo binamu