Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Za wewe tumekumiss mamy
Za wewe tumekumiss mamy
Achana na aunt kwanza ...kwa nini umenisalitiiii tulipanga nini ?? Kwa taarifa yako nimetuma picha yako kimakosa ila maksudi kwa yule wa kule chini ...kesho utakomaa
Kwani kuna haja ya salam kweli??
Pouwah T karibu
Abeeeh mkuushuniii mambo
...uongo dhambi, hajambo sana, anazidi kupendeza tu yaani kuna wakati hata najihisi sijafunga yaani kila nikimuangalia najihisi kufuturu tu
Pouwah mkuu za wewekapukuzZ mambo
Hujakosea jamaniAu mke mwee nimekosea jamani
Mchonganishi huyoHivi binamu ilikuwaje kumwambia mjomba ako nimemwita kaka lini mimi nilimuita kaka lakini binamu
Poa vp
Cjambo
Kuwa makini nae tunaweza kumpoteza huyo, ww mzoefu umuangalie acjepotea hukoMke mwee nimekutana na moneytalk jukwaa la chini naona ndio kaingia
Binamu popote ulipo jileteee una kesiii Obe puliziii kamuu zisii weiiii
Unambie kwa nini bi ashura umempa nambq zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
..unadhani hata mimi najua basi!! Sikumbuki kabisa wewe kumuita anko wangu kaka. Watu wana maneno sana, nilijiuliza sana ujue wanataka tu wakugombanishe na mumeo.
Nilishangaa sana anko aliposema eti ulimuita kaka. Au ni njama tu za anko ukasirike akutulize kisha akutambulishe mke mpya aliyempata kwenye ramadhani
Miss u too mama Wenger
Pole na hongera
PouwakapukuzZ mambo
...yeah, hongera kwa malezi.
Wengine tunalea vitambi, si kazi ndogo pia

AiseeWote humu ni wajukuu zake hata binamu Obe nae ni mjukuu wake


Kuwa makini nae tunaweza kumpoteza huyo, ww mzoefu umuangalie acjepotea huko