Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Njema kabisa dadakeSafi kaka habari ya wewe
Njema kabisa dadakeSafi kaka habari ya wewe
Ukibigwa ban ya siku una kaa wiki nzima bila kuingia humuhahaaa.. Invisible akiwa na stress za marejesho ya Mkopo "" hakawii kubonyeza kitufe cha ban "" ana kukabizi mwenge ukimbie nao tu "" roho yake inakuwa baridiiii
Asante mkuu. Mungu Aendelee kukubarikiMuziki: Jumatano Kuelekea Ramadhan
Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukupongeza kwa kuweza kuchukua muda wako kupumzika hapa. Ujue nini, bila wewe Tumosa , Shunie , Transcend , shululu , BlessedHope , Lyon Lee , Nyagei , Da'Vinci , omarion5 , Clkey , ABJ , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa , Sakayo , Mkushi wa kusi , dumejeuri EMMYGUY , sab , hekimatele , hearly , sweetlee, SHIMBA YA BUYENZE , Bitoz , na wewe unayenisoma sasa, jukwaa hili lingekuwa ni la kawaida tu. Uwepo wako unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Asante Shunie kwa magazeti, ilikuwa siku nzuri kuamka na kusoma magazeti hapa.
Muziki sasa, siandiki mengi leo maana niko kwenye maandalizi ya kuianza Ramadhan na wakati wengine wanafunga, mimi nafungulia.



Habari ya kwako msukumaAsante mkuu. Mungu Aendelee kukubariki![]()
hahaa ..usicheke sana "" bwana yule akivurugwa" huwa hanaga simile "" usikute amefunga " na hana Uhakika wa kufuturu "" hasira zake zisije kuishia kwangu burestress za mkopo
hahaa ..usicheke sana "" bwana yule akivurugwa" huwa hanaga simile "" usikute amefunga " na hana Uhakika wa kufuturu "" hasira zake zisije kuishia kwangu bure










hahaa..na ABJ wangu nitamkuta kesha binafsishwa ...Hawa mashangingi wahumu " hawakawii kumtia vishawishi aisee...."" utasikia achana nae yule " mtu mwenyewe ana tumia free data...pale alipo kabakiwa na suruali mbili tu...nikaja kurudi na kuta mtoto keshaelewa somo ....hahaaa"" mie ananifungia vioo tu ...kama kwakwea fastjetUkibigwa ban ya siku una kaa wiki nzima bila kuingia humu
hahaaa ..yaani ndio kwanza unazidi "" aiseeee..wewe utaniponza..sio bure ""
Mbavu zangu mie kuna msemo wa wahenga asiyekuwepo na lake halipohahaa..na ABJ wangu nitamkuta kesha binafsishwa ...Hawa mashangingi wahumu " hawakawii kumtia vishawishi aisee...."" utasikia achana nae yule " mtu mwenyewe ana tumia free data...pale alipo kabakiwa na suruali mbili tu...nikaja kurudi na kuta mtoto keshaelewa somo ....hahaaa"" mie ananifungia vioo tu ...kama kwakwea fastjet
Uko na mm huwezi pigwa banhahaaa ..yaani ndio kwanza unazidi "" aiseeee..wewe utaniponza..sio bure ""




hahaa umeona sasa !!?Mbavu zangu mie kuna msemo wa wahenga asiyekuwepo na lake halipo
hahaaa...sawa " wewe nitie uchizi tu""Uko na mm huwezi pigwa ban![]()
hahaa..na ABJ wangu nitamkuta kesha binafsishwa ...Hawa mashangingi wahumu " hawakawii kumtia vishawishi aisee...."" utasikia achana nae yule " mtu mwenyewe ana tumia free data...pale alipo kabakiwa na suruali mbili tu...nikaja kurudi na kuta mtoto keshaelewa somo ....hahaaa"" mie ananifungia vioo tu ...kama kwakwea fastjet
yaani kibaya zaidi tuko Tanzania ya kiswahili wanaandika maelezo kwa kingereza
Hahaha kweli uwe na amani zotehahaaa...sawa " wewe nitie uchizi tu""
YeweeeeeehHahaha kweli uwe na amani zote
Shikamoo mkuuYeweeeeeeh
Mkuu heshima kwakoYeweeeeeeh
ShikamoooShikamoo mkuu