hahaaa huo ugonjwa mkuu"" wanaugua watu wengi mnoo wa taifa hili " shida kubwa ni ukosefu wa kutojitambua..na kukosekana kwa hamasa ya mafanikio ...
mtu amemeza maisha ya kukarili katika kichwa chake "" kwamba ukishakuwa mtu mzima kama utakosa elimu " basii kinachofuata nikuwa na shughuli ya kuweza kupata ugali tu " kisha kuoa ..kuzaa Watoto wa sio na idadi na kusubiri umauti....kuna sehemu moja hivi niliwahi kwenda nikakuta asilimia 95 ya wana kijiji wa hicho kitongoji ni walevi wa kutupwa ...basiii wachina wanakwenda pale wanawanunulia pombe wazazi " kisha wanaondoka na mabinti wao ""