Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mm debe loteee nililokupigia jamani nahisi hata abj wangu hayupo
hahaaa...aiseee..kuna watu wengi nilikuwa sija wa tag "" but baada ya kichwa kutulia ndio nikawa nakwenda kuongeza taglist..."" so kuhusu ABJ nimem tag moyoni tu "" kule sithubutu kumtag ...naogopa nyaku nyaku "" aisee...
 
hahaaa...aiseee..kuna watu wengi nilikuwa sija wa tag "" but baada ya kichwa kutulia ndio nikawa nakwenda kuongeza taglist..."" so kuhusu ABJ nimem tag moyoni tu "" kule sithubutu kumtag ...naogopa nyaku nyaku "" aisee...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
 
Muziki: Jumatano Kuelekea Ramadhan

Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukupongeza kwa kuweza kuchukua muda wako kupumzika hapa. Ujue nini, bila wewe Tumosa , Shunie , Transcend , shululu , BlessedHope , Lyon Lee , Nyagei , Da'Vinci , omarion5 , Clkey , ABJ , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa , Sakayo , Mkushi wa kusi , dumejeuri EMMYGUY , sab , hekimatele , hearly , sweetlee, SHIMBA YA BUYENZE , Bitoz , na wewe unayenisoma sasa, jukwaa hili lingekuwa ni la kawaida tu. Uwepo wako unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Asante Shunie kwa magazeti, ilikuwa siku nzuri kuamka na kusoma magazeti hapa.

Muziki sasa, siandiki mengi leo maana niko kwenye maandalizi ya kuianza Ramadhan na wakati wengine wanafunga, mimi nafungulia.

[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
 
Back
Top Bottom