Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Uko na mm huwezi pigwa ban![]()
wewe ni moderator kumbe?
Uko na mm huwezi pigwa ban![]()
Binamu asante sana bora uishi na mchawi kuliko mnafiki mchawi akitaka kukuua anakuua tu mnafiki anakuchekea huku anakumalizaTafasiri Unavyoweza: Kuishi Kinafiki Tatizo Letu Siasani
Mnafiki ni mtu ambaye anaishi na kutenda asivyo (pretense, au tumezoea kusema kupritend-kujifanya kuwa wakati sio). Kuishi kunatokana na neno maisha na kwa ufahamu usiotaka kutumia nguvu sana maisha ni siasa maana siku zote siasa ni ushawishi juu ya jambo au suala linaloshadadiwa na mtu au kikundi cha watu. Bahati mbaya sana, maisha yetu wengi tunayaishi kinafiki na mbaya zaidi wanasiasa wetu wamekuwa ni wanafiki zaidi sababu tumekaa kimya hatuwakosoi pale tunapoona unafiki umezidi. Tafasiri unavyoweza.
Tunawajua wanasiasa wengi ambao ni wanafiki kwa kiwango kikumbwa, yaani ni wale ambao wakifungua midomo yao huwezi kuamini chochote kinachotoka. wanasema hili huku wakimaanisha kitu kingine kabisa na wakiulizwa kesho wanabadili maneno na kuanza kuwapa majina wanaohoji kuwa si wazalendo. Mtawala kwa sababu ya unafiki wa maneno na matendo, kila siku anakuja na unafiki mpya kuficha unafiki wa jana na mbaya zaidi kwa kujua/makusudi wafuasi wa chama chake wanakuwa nyuma kutetea unafiki huu. Wanatetea maslahi si tu ya mtawala bali chama chao na hii inatokea kwa wanasiasa wote, walio madarakani na wanaosubiri nafasi ya kushika madaraka.
Mnafiki ni mtu mbaya, mnafiki anafitini na kufitini ni kutaka kugombanisha wananchi na hii si hulka tunayoitegemea kwa mwanasiasa au awaye yeyote. Ninajua kabisa ukweli una gharama na wakati mwingine ni gharama ya damu. Ifikie wakati tukae pembeni ya wanasiasa wanafiki ambao wanaamini unafiki wao hatuujui. Taifa makini ni la watu wanaohoji na si wanaokaa na kukubali kila kinachosemwa na wanasiasa
Asante sana binamuMuziki: Ramadhani Kareem
Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukupongeza kwa kuweza kufika hapa na kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo mara zote. Najua kabisa kwa wengine wameanza mfungo leo, huu ni mwezi wa hisani (kareem maana yake genorous), na hakuna maana kama utaamua leo kuishi kama jana wakati kuna kesho. Nikutakie funga njema wewe unayefunga, funga yako ni siri yako na unayemwamini sio kukaa umepauka midomo na mdomo kunuka kisa umefunga, haifai.
Muziki sasa, ni jambo zuri kukuona anko wangu na wadau wote wa Makapuku, asanteni sana na niwatakie wakati mzuri.
Binamu asante sana bora uishi na mchawi kuliko mnafiki mchawi akitaka kukuua anakuua tu mnafiki anakuchekea huku anakumaliza
Sipendi wanafki mm yaan nisikujue tu unaninafkia mfyuuuuu...tena anakuja na kukukumbatia na kukupigapiga mgongoni kana kwamba yuko pamoja na wewe kumbe
![]()
haha haa weee acha tu mzee baba"" utadhani vile wametusomesha wao ""![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
yaani kibaya zaidi tuko Tanzania ya kiswahili wanaandika maelezo kwa kingereza
Mimi sijamboMndali amekumisi sana
Na anakusalimia sana
WoyooooWoyoooooo mpendwa wake mtu
Zimefika amesema asante mungu akubarikiMimi sijambo
Mwambie nammiss pia na namsalimia saaana
Mi nitatoa malalamiko maana dunia inajifunza kiswahili wenye kiswahili tunataka kingerezahaha haa weee acha tu mzee baba"" utadhani vile wametusomesha wao ""
AmenZimefika amesema asante mungu akubariki
WoyooooooooooWoyoooo
AmeniAmen
Abarikiwe zaidii
AiseeeWoyoooooooooo
UsijaliAmeni
Naomba msaada wakumtafuta mama mchungaji
Sawa MkuuUsijali
hiyo inaitwa mkataa kwao " mtumwa "Mi nitatoa malalamiko maana dunia inajifunza kiswahili wenye kiswahili tunataka kingereza