Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
We vipiiii uko wapiKwani ameshamkubalia![]()
![]()
We vipiiii uko wapiKwani ameshamkubalia![]()
![]()
Kazi ya jogoo sio kulea vifaranga
Kazi ya jogoo ni kuhakikisha kukuwa wanataga mayai yenye uwezo wa kutotolewa
Sasa nakuambia kuwa Mimi kazi yangu ni kuhakikisha wanawake wanapata watoto sio kulea
Kutelekeza sio kazi yangu kulea Mimi ni kutungisha mimba tu ndio kazi yangu
duuuhhh.. daaahh yule mke wangu kipenzi hawezi kuwa na ubongo wa mende "" mpaka akubali kupachikwa mimba " kukimbiwa na kuitwa " single mother...yule mke wangu ni " gifted bhanaa...akili zimefika kwao pale "" hawezi kuwa zwazwa wakiwango hicho...so namba unayoipiga kwa sasa haipatikani..labda upande juu ya mnaraKazi ya jogoo sio kulea vifaranga
Kazi ya jogoo ni kuhakikisha kukuwa wanataga mayai yenye uwezo wa kutotolewa
Sasa nakuambia kuwa Mimi kazi yangu ni kuhakikisha wanawake wanapata watoto sio kulea
Kutelekeza sio kazi yangu kulea Mimi ni kutungisha mimba tu ndio kazi yangu
hahaaaa...kwaherini"" mwambie brother zile comment ajifanye kama hajaziona tu""
Duuuh Dada naona kila ukiona mtongozo unakuwa na maelezo naoWw vipiii sio anammendea ni mbebez wake
Nko hapaWe vipiiii uko wapi

hahaa...kaka kalewa mbege huyu sio bure![]()
![]()
![]()
![]()
Kaka huyo
Namshawishi ni kwa huyu hearly na wameshakubalianaDuuuh Dada naona kila ukiona mtongozo unakuwa na maelezo nao
Juzi si nimekita unamshawishi aende sehemu au mi ndio nilikuwa sielewi
Ngoja nivue na shati kabisa , nitembee kifua mbeleeeeHuku mm ndio nyumbani kwetu karibu sana huwezi potea jisikie upo nyumbani
Hakuna shida we vua tuNgoja nivue na shati kabisa , nitembee kifua mbeleeee
Nitatimiza kwa vitendo we tulia tuhahaaa...mimi wala siongei na wewe.... MNG'oa kucha brother "" nishikishie adabu huyu mtu aisee.....
Ndo uone kaz ya dada ykoDuuuh Dada naona kila ukiona mtongozo unakuwa na maelezo nao
Juzi si nimekita unamshawishi aende sehemu au mi ndio nilikuwa sielewi
Namshughulikia sasa hivi
Nipo dada kwa aajili ya ndoa za watu ziwe imara sio hawa wapita njia wanaharibuWoyooooooooo
Sio atembee uchi kasema anavua shati![]()
![]()
atembee uchi
Sawa sawaNipo dada kwa aajili ya ndoa za watu ziwe imara sio hawa wapita njia wanaharibu
hahaa..apewe life ban kwani JF wao inawahusu nini "" alikuwa jukwaa la habari na hoja mchanganyiko"""Jamani alikuwa jukwaa gani basi nilijua alipewaga life ban
hahaa..apewe life ban kwani JF wao inawahusu nini "" alikuwa jukwaa la habari na hoja mchanganyiko"""Jamani alikuwa jukwaa gani basi nilijua alipewaga life ban
Naona analeta jeuli we mwache tu![]()
![]()
![]()
![]()
Na ujue huyo ndo kaka ake ABJ ukija nyumbani utamkuta huyo na mkuki mlangoni so kuwa makini