Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yule sio mke wako wala huna hadhi ya kumiliki mtoto mrembo kama huyo
Hasa huyu dada yangu wewe ukihitaji sana unaweza kuwa mpenzi mtazamaji tu
Shem " hzo comment sijazi post mie " mkuu"" account yangu ilikuwa hacked ..so " tuache tu mi na mdogo wako "" maana tumeshapendana "" na tunamalengo chanya kwaajili ya ustawi wa maisha Yetu "" tafadhali sana bwana shemeji ""....

daaahh Hawa hackers nao " ona sasa wanataka kutia kitumbua changu mchanga ""
 
Ujeuri ulisomea wapi?

Mi nimepita huko kote nanitakushughulikia kama kama nilivyo panga ngoja aje
 
Naombeni msaada wenu wakuu.
Natafuta sana movie za Kihindi za zamani (1940-2000) zenye good quality na subtitles za Kiingereza.
Nimejaribu kuzitafuta naona nakwama. Uungwana na kuomba msaada kwa wanaojua/fahamu wapi naweza zipata.
Huku mitandaoni hakuna good quality sana (Youtube zimejaa lakini hazina Subtitles)
Msaada mwenye kujua anijuze nawapata wapi wadosi wangu wa kitambo kina Amitabh Bachchan, Dharmendra, Sunny Deol na wengineo watabe orijinali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom