Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimemmiss huyo mtu uwe unanitag huko nisome habari zake niliona lemutuz aliscreenshot ile habari aliyotoa mngoa kucha eti ashtakiwe
haha hahaa anawazimu "" kweli "" akili zake zimehamia tumboni " serikali haiamini uchawi"" though anatumia fake I'd "" utampata wapi....haina shida Nita kutag wala usijali "" wewe tena " hilo halina " pingamizi madamel
 
Kijana jiangalie kama una viungo vyako vyote nimetuma maskauti wangu hapo
brother sory"" Shem " account yangu ilikuwa hacked ..ndio nimetoka kui unlock muda huu"" so hizo comment zote zinazo wasilishwa na I'd yngu "" sijazi comment mid " ni hackers hao walikuwa wanajaribu kutugombanisha"" pole kwa usumbufu aisee...
 
duuuhhh.. daaahh yule mke wangu kipenzi hawezi kuwa na ubongo wa mende "" mpaka akubali kupachikwa mimba " kukimbiwa na kuitwa " single mother...yule mke wangu ni " gifted bhanaa...akili zimefika kwao pale "" hawezi kuwa zwazwa wakiwango hicho...so namba unayoipiga kwa sasa haipatikani..labda upande juu ya mnara
Yule sio mke wako wala huna hadhi ya kumiliki mtoto mrembo kama huyo
Hasa huyu dada yangu wewe ukihitaji sana unaweza kuwa mpenzi mtazamaji tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom