Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Nimesahau ile bandZaidi ya manfongo
Wanaimba wanasema shemeji shemeji huku wazima taa
Nimesahau ile bandZaidi ya manfongo
Mkuu " nimeshaachana na habari za transcend " muache apambane na hali yake "" usiniharibie ugali wangu aisee..""

sasa wewe niyupi kati ya hao Jamaa wa kwenye avatar...Sawa dadake
Mi nashuudia ulivyo chukua nafasi ya kukuwadiaha hahaa ,...shemeji shemeji zima taa" hawana maana aiseee
@TumosaMkuu " nimeshaachana na habari za transcend " muache apambane na hali yake "" usiniharibie ugali wangu aisee..""
Bahatisha ukipatia nakutumia vocha ya buku tanosasa wewe niyupi kati ya hao Jamaa wa kwenye avatar...
Huyo c anammendea mdogo wetu ABJ@Tumosa
Nionyeshe wake nami niangalie bahati yangu maana dawa ya kuwadi ni kumchukulia vyake
Asante mkuu, sogeza sinia la wali huku basiPoa karibu
Hapa ni selfservice jisavie mwenyewe mkuuAsante mkuu, sogeza sinia la wali huku basi
Saizi nimejitosa kugombea jimbo ulilopo ila ukose na ulicho nachoha haaa...Nipo kwenye kitengo cha kampeni pale UVCCM so nilikuwa najaribu kupiga tizi ili nione kama nitaziweza purukushani za siasa....lakini huyu Tumosa ..akili zake kama tundu lisu "" kanitoa kwenye mood yote
Salama mkuu za kwako karibu sanaHabari
Mwambie kuanzia leo hata mpata tena Mimi ndio nimesema na kama anabisha mwambie mi natokea ule ukoo waHuyo c anammendea mdogo wetu ABJ
Sio mbaya akina Mani fongo hawakosekani kila sehemu





wanakulaga tu
Mkuu " nimeshaachana na habari za transcend " muache apambane na hali yake "" usiniharibie ugali wangu aisee..""








Asante, ndio nisha fika mkuuSalama mkuu za kwako karibu sana
Looooohh jibaba fisadi weweee"" yule Binti uliyempa mimba kisha ukamtelekeza ulishamalizana nae "" au wataka kufisadi mapenzi Yetu tu"" halafu upotee kama ulivyo mchukulia mdogo wako yule mkewe """Saizi nimejitosa kugombea jimbo ulilopo ila ukose na ulicho nacho
Maana nimegundua wewe sio mtu mwema kabisa hasa kwenye mahusiano ya watu