Makapuku Forum

Makapuku Forum

Looooohh jibaba fisadi weweee"" yule Binti uliyempa mimba kisha ukamtelekeza ulishamalizana nae "" au wataka kufisadi mapenzi Yetu tu"" halafu upotee kama ulivyo mchukulia mdogo wako yule mkewe """
Kazi ya jogoo sio kulea vifaranga

Kazi ya jogoo ni kuhakikisha kukuwa wanataga mayai yenye uwezo wa kutotolewa

Sasa nakuambia kuwa Mimi kazi yangu ni kuhakikisha wanawake wanapata watoto sio kulea

Kutelekeza sio kazi yangu kulea Mimi ni kutungisha mimba tu ndio kazi yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom