Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Nilisombwa na Maji ya Mvua kule bonde la Mkwajuni!
Nilisombwa na Maji ya Mvua kule bonde la Mkwajuni!
Eti kuna mtu kasema ukiporwa mkoba!Mh maeneo yapi hayo
kwanini "" chief ..mbona Nipo fresh tu"" japo kuwa kuna mtu hapa kaniuliza kuhusu jinsia yangu""ni ipi "" nimebaki na shangaa tu sina lakumjibu"" Maaana nimeisahau ""Wamekukosea sana.
yaani utadhani alifikwa na upungufu wa damu "" halafu hospital wakamuongezea damu ya marehemu gavana balali ....





mbavu zangu
Woyoooooooo mbona hajaniambia jamaniHahaha
Weekend hii naweza kwenda kumuona
Hahhaha nimefanyaje lakiniShauri yako
Sema kweli pole mnoooNilisombwa na Maji ya Mvua kule bonde la Mkwajuni!
Nikiporwa mkoba lazima nipige makelele ya mwiziEti kuna mtu kasema ukiporwa mkoba!
kwanini "" chief ..mbona Nipo fresh tu"" japo kuwa kuna mtu hapa kaniuliza kuhusu jinsia yangu""ni ipi "" nimebaki na shangaa tu sina lakumjibu"" Maaana nimeisahau ""



wapi hukoYamenleta Sijui nchi gani huku!Sema kweli pole mnooo
Sina uhakika kama Yale Maji hayajaformat ubongo wng!Sema kweli pole mnooo
Hamna eneo lingine ambalo by default tu, huwa unapaza sauti hata km huumii?Nikiporwa mkoba lazima nipige makelele ya mwizi
Kwahiyo hujui ulipo pole sanaYamenleta Sijui nchi gani huku!
Kwahiyo smart phone peke yake ilibaki kwenye mafurikoSina uhakika kama Yale Maji hayajaformat ubongo wng!
He he sinaHamna eneo lingine ambalo by default tu, huwa unapaza sauti hata km huumii?
Sijui best. Nasubiria Neema za MunguKwahiyo hujui ulipo pole sana
Ameen na Mungu akusaidieSijui best. Nasubiria Neema za Mungu
Ni kama yule mwanaume aliezimia ktk msiba kule leaders LKN aliikomalia handkerchief yake na simu bila kuachiaKwahiyo smart phone peke yake ilibaki kwenye mafuriko
Ni kama yule mwanaume aliezimia ktk msiba kule leaders LKN aliikomalia handkerchief yake na simu bila kuachia









Ndio mana namtafuta jiraniAmeen na Mungu akusaidie