hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,252
- 79,964
haha hahaa..makapuku tunaonganishwa na upendo mambo ya pesa hayo ni " kassim Majaliwa ""Ctaki mdogo wngu alale njaa mkuu ndo maana nnamtetea
haha hahaa..makapuku tunaonganishwa na upendo mambo ya pesa hayo ni " kassim Majaliwa ""Ctaki mdogo wngu alale njaa mkuu ndo maana nnamtetea
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaniweza mke mwee basi tu unajitoa ufahamu
Poleni kumbe mpaka mmekasirikiana kidogo[emoji23] [emoji23] mwanamke muoga kama nini.Achana kabisa na yule mtu mpaka kukubali nimefanya kazi kubwa sana mpaka alivyoona nimekasirika ndio akakubali tunabembelezana tu swala hilohilo
Hilo makapuku ni jina tu sio kwamba watu ni masikini hapana jamani tuko na mahela yetu unataka mbebez uwe na mahela ya kumuhudumiaMakapuku tuwe nahela za nini sasa?? umeanza ugonjwa wako na wewe ""!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huna unachoelewa hapoUpo kazin mama
Hayo ndio ya maana kuliko chochote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana mahela lazima ndugu yetu alale na njaa hapana jamanihaha hahaa..makapuku tunaonganishwa na upendo mambo ya pesa hayo ni " kassim Majaliwa ""
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] muoga sana anasema eti mm namuogopa youngPoleni kumbe mpaka mmekasirikiana kidogo[emoji23] [emoji23] mwanamke muoga kama nini.
Ila nmempenda yupo vizuri sana
Khaaa makelele siwezi jamani atakuja tuYaani unamuita kwa kunong'ona! Atakuskia kweli? Yaani sauti km mwali wa kizaramo!
Hilo makapuku ni jina tu sio kwamba watu ni masikini hapana jamani tuko na mahela yetu unataka mbebez uwe na mahela ya kumuhudumia
Sijui why unanifanyia ntimanyongoKhaaa makelele siwezi jamani atakuja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe si bahili binamu kama anko wako...kweli tuna mahela yetu kabisa ila mimi hela zangu naziunganisha na zake tunahudumiana
Umeanza mambo yakoHilo makapuku ni jina tu sio kwamba watu ni masikini hapana jamani tuko na mahela yetu unataka mbebez uwe na mahela ya kumuhudumia
umeanza....tuache wenyew na mahaba Yetu...makapuku " hatubaguani ...hasara roho pesa makaratasi ""Hapana mahela lazima ndugu yetu alale na njaa hapana jamani
Sio kweli. Najua yapo "maeneo yako" unapiga kelele haswa!Khaaa makelele siwezi jamani atakuja tu
hahaha umemuona eehh "" yeye pesa tu ..kama vile amezaliwa sokoni ...khaaaaUmeanza mambo yako
Haha hahaaa..I bet hayo maeneo itakuwa ni kipindi ambacho wezi wanapompora ..au nimekosea mkuu""?Sio kweli. Najua yapo "maeneo yako" unapiga kelele haswa!