Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,374
- 38,248
Wewe! Sa ntaendaje kulala kwa jirani nimekuambia nalala Ofisi za chama huku! Pili huku nilipo Sijui nipo nchi ama mkoa gani!Bora umekuja anataka kuna kulala kwako
Wewe! Sa ntaendaje kulala kwa jirani nimekuambia nalala Ofisi za chama huku! Pili huku nilipo Sijui nipo nchi ama mkoa gani!Bora umekuja anataka kuna kulala kwako
Kwa nini tena jamaniBora umekuja. Shogako kaninyanyapaa vya kutosha
Pole sana jamaniApate kujua yalonsibu mana amfaaye mtu, mtu!
All in all nakushukuru kwa msaada wkEeeenh sawa bwana
Niko hapa mimi jiraniNimekutafuta sana jamani.
SitakiiiiiiiiAll in all nakushukuru kwa msaada wk
AiseeeBora umekuja anataka kuja kulala kwako
Sasa alikuwa unamwita usiku huu wa nnWewe! Sa ntaendaje kulala kwa jirani nimekuambia nalala Ofisi za chama huku! Pili huku nilipo Sijui nipo nchi ama mkoa gani!
Ahsante jirani yangu. Mungu akubariki sanaPole sana jamani
Sijui labda huu ukada wangu kwa chamaKwa nini tena jamani
Ahsante. Najua siwezi taabika wewe ukiwepo.Niko hapa mimi jirani
OooohSijui labda huu ukada wangu kwa chama
Usimuamini sana.Aiseee
Usijali jiraniAhsante. Najua siwezi taabika wewe ukiwepo.
AmenAhsante jirani yangu. Mungu akubariki sana
Ni mdogo wangu ujue jiraniUsimuamini sana.
Pole sana jiraniNataka jirani yangu Sakayo ajue kuwa hizi mvua za mASIKA hazijaniacha Salama. Kwani muda wa kumtaarifu jirani yako MAJANGA ni mchana tu? Waswahili tunasema DARAJA LIVUKE UFIKAPO!