Jogoo wa Shamba II
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 3,394
- 6,562
Ni kama yule mwanaume aliezimia ktk msiba kule leaders LKN aliikomalia handkerchief yake na simu bila kuachia






Ni kama yule mwanaume aliezimia ktk msiba kule leaders LKN aliikomalia handkerchief yake na simu bila kuachia






Unamtafuta ili ukalale kwakeNdio mana namtafuta jirani
Sisi watu wa Kinondoni! Tuache tu
Haaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Hapana.Unamtafuta ili ukalale kwake
Sasa unamtafuta wa nn jamani na uko kwenye mafuriko hujui ulipoHaaaah. Haaaah. Haaaah. Haaaah. Hapana.
Nalala Ofisi za Chama, pa kulala sio shida!Unamtafuta ili ukalale kwake
Sasa shida n nn mpaka umtafute jirani yako usiku huuNalala Ofisi za Chama, pa kulala sio shida!
Mbona umesahau question mark?Unamtafuta ili ukalale kwake
Lakini umeelewa kuwa ni swaliMbona umesahau question mark?
Jirani yangu mimiMbona umesahau question mark?
Bora umekuja. Shogako kaninyanyapaa vya kutoshaJirani yangu mimi
Nilielewa kama ushuhudaLakini umeelewa kuwa ni swali
Nataka ajue hiliSasa unamtafuta wa nn jamani na uko kwenye mafuriko hujui ulipo
Apate kujua yalonsibu mana amfaaye mtu, mtu!Sasa shida n nn mpaka umtafute jirani yako usiku huu
Nimekutafuta sana jamani.Jirani yangu mimi
Bora umekuja anataka kuja kulala kwakoJirani yangu mimi
Khaaa kukuitia kote kule kweli wahenga hawajakosea shukrani ya pundaBora umekuja. Shogako kaninyanyapaa vya kutosha