Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Wapi hapo binamu...unadhani huwa tunaenda mbali basi!? Hapana , huwa tunaenda hapo chini tu
Wapi hapo binamu...unadhani huwa tunaenda mbali basi!? Hapana , huwa tunaenda hapo chini tu
[emoji120][emoji120]Asante mke mweee barikiwa
Sawa Dada mzima lakiniNpo jamani
Jukwaa la chini nendeni tu mtanikunikuta nawalindia uzi...unadhani huwa tunaenda mbali basi!? Hapana , huwa tunaenda hapo chini tu
Amenikabisha nitaendaHahahaaa shunie kapatikana
Nko mzima kakaSawa Dada mzima lakini
Amen[emoji524][emoji433][emoji433][emoji1351][emoji335] 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
1 Wakorintho 2 :10
11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
1 Wakorintho 2 :11
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
1 Wakorintho 2 :12
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
1 Wakorintho 2 :13
USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE FAMILY[emoji1317] [emoji7]
Tumshukuru mungu kwa uzima alio tupaNko mzima kaka
Poa shemela wangu, za weweshemela wangu mambo
Baba wawiliPoa shemela wangu, za wewe
Niambie mama wawiliBaba wawili
Karibu nyumbaniNiambie mama wawili
AiseeeYule kauli zake;
aki!
muone!
mwenyewe!
mmmh!
Hahahaaaaaa
KhaaaaWe si wa sakayo jamani katibu wake mwenyewe mzee wa personality
Yamekuwa hayo Shem ake mieAta kidogo
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siku utawaotea yaan full mbebisho ngoja sakayo akuje uone
Mecheka sana jamaniTenzi za rohoni anazijua?
Unataka kugundua nini lakiniHeeh!! Imekaa vizuri hii ngoja siku niwaotee
Ujue nawazoomHahah basi ndii mana tunapita njia tofauti