Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah basi ndii mana tunapita njia tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah basi ndii mana tunapita njia tofauti
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Eti kisa kashindwa kutamka ''mma"
Unitumia na mimiBinamu naomba uniwekee hii nyimbo ya davido ft wizkid lamboghin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115] [emoji115]
Asante mkuu habr ya ujenzi wa Tanzania yetuNafurahi kusikia hivyo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siku utawaotea yaan full mbebisho ngoja sakayo akuje uoneHeeh!! Imekaa vizuri hii ngoja siku niwaotee
Ata kidogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupenda bana
Akikujibu uniiteUsiniambie tambo za Shunie zote hizi anakuchomesha mahindi!!??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Vita subira mkuu soon natumaHongera mkuu naomba kapicha kaa vyerehani
Me pia kaka akee jamani lini unaleta mazao huku mjini jamaniDadake nimekumisi ujue
Weka pichaSalama tu mkuu tupo na vyerehani vyetu
Ataka ataka ataka naniii, atakaaaaaaa, ataka naniiii, ataka ataka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu nikuulize eti unataka nini jamani [emoji3]
Anazijua niko namfundisha unataka tuimbe tenzi no ngapiTenzi za rohoni anazijua?
Namshukuru Mungu siku zinazidi kusogeaAsante mkuu habr ya ujenzi wa Tanzania yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Wewe acha tu mkuu, msondo ngoma walivyoimba wanaume tumeumbwa mateso hawakukosea
Sawa mkuu maana hapa niko sehemu napata kachasa yetuVita subira mkuu soon natuma
Dada huko mjini madalali wasumbufu sana nauzia shambaniMe pia kaka akee jamani lini unaleta mazao huku mjini jamani
We si wa sakayo jamani katibu wake mwenyewe mzee wa personalityKiaje?
Wacha mi nilale mbele ,mambo ya ushahidi hapana maana atakufwa mtu na baridi hiloKwahiyo ni uwongo eti ngoja nianze mgomo wa kukunyima
Sawa Mkuu nimefurahi leo tumekutana hapaNamshukuru Mungu siku zinazidi kusogea