Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Dadake nimekumisi ujueMahaba kaka akee
Dadake nimekumisi ujueMahaba kaka akee
MarahabaItikia basi mkuu
HahahaaaaHahah basi ndii mana tunapita njia tofauti
Binamu naomba uniwekee hii nyimbo ya davido ft wizkid lamboghinMarhaba binamu, nipongeze, usinipe pole maana nilikuwa na wikend safi sana, tarehe za mshahara hizi. Mambo mengi yalikuwa sawa sijui kwenu na bday ya mumeo
Salama tu mkuu tupo na vyerehani vyetuMkuu huku kwema habari ya Tanzania ya viwanda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti kisa kashindwa kutamka ''mma"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupenda banaSakayo hanipendi
Woyooooooo tatizo huwa hauelewekiNilikuwa najihisi upweke upweke, nilivoona hii comment yako mwili umechangamka
Hahahaa
Mm sijambo binamu yangu hofu kwako tu naomba uniwekee hiyo nyimbo yangu niliyochaguaMarhaba sana aunt yangu mwenyewe. Nijalie hali yako
Sijambo baby yake hela za kuongeaMarahaba
Tenzi za rohoni anazijua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakupenda bana
Sio kupendwa ya hivyo banaUkitaka upendeke kwa Sakayo fungua vifungu vya Biblia
Hahahaaa
Kiaje?Woyooooooo tatizo huwa haueleweki
Hongera mkuu naomba kapicha kaa vyerehaniSalama tu mkuu tupo na vyerehani vyetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahabaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nafurahi kusikia hivyoSijambo baby yake hela za kuongea
HahahaaaaaaaaaSio kupendwa ya hivyo bana
Ebu nikuulize eti unataka nini jamani [emoji3]Anataka nini vile?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahah!! Wewe acha tu mkuu, msondo ngoma walivyoimba wanaume tumeumbwa mateso hawakukoseaUsiniambie tambo za Shunie zote hizi anakuchomesha mahindi!!??[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwahiyo ni uwongo eti ngoja nianze mgomo wa kukunyima[emoji39][emoji39] kama kweli vile