mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,558
- 45,131
Yule kauli zake;[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siku utawaotea yaan full mbebisho ngoja sakayo akuje uone
aki!
muone!
mwenyewe!
mmmh!
Hahahaaaaaa
Yule kauli zake;[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] siku utawaotea yaan full mbebisho ngoja sakayo akuje uone
HahhahahahaaaaAnazijua niko namfundisha unataka tuimbe tenzi no ngapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We si wa sakayo jamani katibu wake mwenyewe mzee wa personality
Hiki kijiwe nimekuwa mtoro sana siku hizi, narejesha mahudhuri kama kawaida sasaSawa Mkuu nimefurahi leo tumekutana hapa
Niambie hebu!Yule kauli zake;
aki!
muone!
mwenyewe!
mmmh!
Hahahaaaaaa
Utakua na mwinhine wa kumpaKwahiyo ni uwongo eti ngoja nianze mgomo wa kukunyima
Sawa mkuu mi ndio mtoro zaidiHiki kijiwe nimekuwa mtoro sana siku hizi, narejesha mahudhuri kama kawaida sasa
Asante sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaaaah!! pole sana ndugu khaaaaah!
KheeeeeeHahah!! Wewe acha tu mkuu, msondo ngoma walivyoimba wanaume tumeumbwa mateso hawakukosea
Hahah kua makini usilewe sanaSawa mkuu maana hapa niko sehemu napata kachasa yetu
Anaweka hapa ndio nataka niichukue akiiweka video download audio basi unitumieUnitumia na mimi
Kweli anakupendaAta kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ataka ataka ataka naniii, atakaaaaaaa, ataka naniiii, ataka ataka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenikumbusha katoto ka dada yangu ,kakivalishwa nguo kasioipenda bas kanaanza hizo kauli hapo za ataka ataka naniii
Hahahahaaaaa
Mkuu huku ukinywa bila kulewa ni sawa na kwenda disco bila kuchezaHahah kua makini usilewe sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daaaaaah!! pole sana ndugu khaaaaah!
Kongole sana mkuuTafasiri Unavyoweza: Kazi Yako Muhimu Kwetu
Masaa ya kiserikali kufanya kazi kwa siku ni 8 (nane) tu na kwa maana hiyo kwa juma zima wengi wetu hufanya kazi masaa 40. Kazi ninamaanisha ni nafasi uliyoajiriwa/kujiari na huendana na malipo mahususi. Natambua kabisa wengi wetu hufanya kazi zaidi ya moja, hakuna ubaya kwa sababu mimi naelezea kazi yako ya msingi inayokulipa mshahara na inakuhakikishia maisha ya uzeeni kama utabahatika kufika huko. Tafasiri unavyoweza.
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yamekuja na mengi, kwanza tumeona uzalishaji ukiongezeka kwa kiwango kikubwa sana (efficiency), bidhaa nyingi sana tunaziona sokoni tofauti na wakati mwingine wowote. Huduma nazo zinazidi kuboreka na mtumiaji wa huduma sasa ana uhuru wa kuchagua atumie huduma ipi kutokana na mahitaji yake.
Upo utafiti kuwa baadhi yetu hatuoni kama tunachofanya kwenye makazini kinasaidia jamii (meaningful contribution to our society). Mitandao inawafanya walimu waone kama huduma yao haina nguvu tena madarasani na ulimbukeni wa baadhi ya wanafunzi wanajiaminisha kila kitu kinapatikana 'gugo'. Pamoja na kuwa sasa baadhi ya mataifa yanahama toka kwenye uga wa uzalishaji (production industry) kwenda kwenye uga wa huduma (service industry) bado hakujaondoa ukweli kuwa kazi unayofanya ina nguvu sana katika kubadilisha maisha yangu, ya yule na ya kwako na kinyume chake kwako.
Tia juhudi katika kile unachofanya maana huduma unayotoa inaweza kuonekana moja kwa moja (direct impact) na isioonekana moja kwa moja. Wewe na kazi unayoifanya mnachangia kwa kiasi kikubwa sana kuweka tabasamu usoni kwa kila anayekutana na wewe.
Jamani kwahiyo sasa hivi huji kabisa kakaDada huko mjini madalali wasumbufu sana nauzia shambani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] abaki akumbatie mitoWacha mi nilale mbele ,mambo ya ushahidi hapana maana atakufwa mtu na baridi hilo
Hahahhahaaaa