Makapuku Forum

Makapuku Forum

..hata nikinywa fanta passion?

anigif_enhanced-buzz-19308-1373644751-37.gif
Anko usijali nakutumia WhatsApp
 
Woyoooooo ukirudi naweka magazeti asubuhi halafu binamu anapata shida sana kuhusu magazeti binamu kesho tunaanza binamu yangu huwa nakufikiria sana
Kweli kabisa nimemiss magazeti sana.

Leo kidogo nijiingize mjini baada ya kuona Gazeti lina habari ambayo nilitaka niijue nikataka kulinunua maana sikuwa humu JF toka saa 2 asubuhi.

Wazo likanijia kuwa hii habari itakuwepo JF nikasema ngoja nitaenda kuitafuta JF.

Baada ya kuingia kabla sijaanza kuitafuta, nikaona uzi unakanusha ile habari niliyetaka kuifuatilia na kununua Gazeti lake, hadi hapo nikaokoa Buku yangu kwa sasa nitailia mihogo kesho asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kweli kabisa nimemiss magazeti sana.

Leo kidogo nijiingize mjini baada ya kuona Gazeti lina habari ambayo nilitaka niijue nikataka kulinunua maana sikuwa humu JF toka saa 2 asubuhi.

Wazo likanijia kuwa hii habari itakuwepo JF nikasema ngoja nitaenda kuitafuta JF.

Baada ya kuingia kabla sijaanza kuitafuta, nikaona uzi unakanusha ile habari niliyetaka kuifuatilia na kununua Gazeti lake, hadi hapo nikaokoa Buku yangu kwa sasa nitailia mihogo kesho asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho naanza kuweka
 
Kweli kabisa nimemiss magazeti sana.

Leo kidogo nijiingize mjini baada ya kuona Gazeti lina habari ambayo nilitaka niijue nikataka kulinunua maana sikuwa humu JF toka saa 2 asubuhi.

Wazo likanijia kuwa hii habari itakuwepo JF nikasema ngoja nitaenda kuitafuta JF.

Baada ya kuingia kabla sijaanza kuitafuta, nikaona uzi unakanusha ile habari niliyetaka kuifuatilia na kununua Gazeti lake, hadi hapo nikaokoa Buku yangu kwa sasa nitailia mihogo kesho asubuhi[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Watu huwa wanahoji kwanini Makapuku imedumu sana , sababu ni uwepo wa magazeti na sogozi tofauti tofauti. Napapenda hapa, sana tu
 
Back
Top Bottom