Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
ha hahahhaha, ila kweli aisee, nilidhani mimi ndo mkazi wa muda hapa ila Tumosa katisha yaani hatoki hata akisikia Simba kashinda anabaki hapa hapa tu. Nimempenda sana kiukweli ha aahhaah
Mzalendo wa kweli huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha hahahhaha, ila kweli aisee, nilidhani mimi ndo mkazi wa muda hapa ila Tumosa katisha yaani hatoki hata akisikia Simba kashinda anabaki hapa hapa tu. Nimempenda sana kiukweli ha aahhaah
Mke mwee cha kujibu sina mie[emoji134] [emoji134] [emoji134] mke mweee njoo ujibie hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha hahahhaha, ila kweli aisee, nilidhani mimi ndo mkazi wa muda hapa ila Tumosa katisha yaani hatoki hata akisikia Simba kashinda anabaki hapa hapa tu. Nimempenda sana kiukweli ha aahhaah
Karibu sanaKwaherini ndugu zanguni nimefurahi kujumuoka na nyinyi leo humu nitakua nawatembelea ninapopata muda.....
Nmekuhamu kaka anguKalumbu
Kweli kaka tafuta mwenyeji kabisa ucjepotea waanze kukutangaza kwenye tv[emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante dadake ila naomba uwe mwenyeji wangu
Dada mi nipo kuna siku nikajiuliza dada yupo kweliNmekuhamu kaka angu
Kwani simba akishinda mnaendaga wapi binamu[emoji134] [emoji134]ha hahahhaha, ila kweli aisee, nilidhani mimi ndo mkazi wa muda hapa ila Tumosa katisha yaani hatoki hata akisikia Simba kashinda anabaki hapa hapa tu. Nimempenda sana kiukweli ha aahhaah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kweli kaka tafuta mwenyeji kabisa ucjepotea waanze kukutangaza kwenye tv[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Npo jamaniDada mi nipo kuna siku nikajiuliza dada yupo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu asante sana nimecheka sana hapo kwa kumfatilia mama anguMuziki: Jumatatu ya Mshahara
Sichoki kukwambia kuwa uwepo wako wewe hapa unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo. Hapa tunafaidika na mengi sababu ya mchango wako unaokufanya wewe kuwa mtu maalum na ukipotea japo kidogo basi unatufanya wengi tukuhamu si kidogo. Ninakusalimia kapuku na leo ni mwisho wa mwezi. Kwa wale wapangaji ambao kodi zetu tunalipa kila mwezi mtakuwa mmeona mwenye nyumba anavyotabasamu kila mkikutana macho. Hongera kwa wewe ulieyejenga au unakaa kwenu. Pole kwako wewe uliyelipa kodi ya miezi sita au mwaka.
Muziki sasa, niseme tu ni jambo zuri kuwaona wadau Mwifwa , mbalizi1 , Davet , ABJ , moneytalk wakiwa hapa pamoja na sisi. Tunawafurahia sana, wakati wote hapa ni sehemu nzuri kuwepo.
Muziki sasa, hili ni chaguo lake aunt yangu mwenyewe Shunie , mke wa mujomba wangu kabisa na mtu pekee ambaye maneno yake mazuri yatanijengea heshima kwa BH (kwa wageni BH ndo mwanamke ambaye nimemfukuzi mwaka wa tatu huu, kiasi kwamba Makapuku kwenye sherehe za mwaka mpya walipendekeza nipewe PhD nikakataa hadi nimalize msimu huu wote. Burudika na muziki na sijui kwanini tarehe za mshahara sisi wengine kuna kiungo huwa kama kinajua mshahara umetoka, kutwa kusisimka hakiangalii hata kama hela ikiingia tu inapangiwa matumizi
Hahahaaa shunie kapatikana[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Dada ujue dar ninatamani kwenda ila sina mwenyeji
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante mke mweee barikiwa[emoji524][emoji433][emoji433][emoji1351][emoji335] 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
1 Wakorintho 2 :10
11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
1 Wakorintho 2 :11
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
1 Wakorintho 2 :12
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
1 Wakorintho 2 :13
USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE FAMILY[emoji1317] [emoji7]
Kwani simba akishinda mnaendaga wapi binamu[emoji134] [emoji134]
[emoji524][emoji433][emoji433][emoji1351][emoji335] 10 Lakini Mungu ametufunulia sisi kwa Roho. Maana Roho huchunguza yote, hata mafumbo ya Mungu.
1 Wakorintho 2 :10
11 Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu.
1 Wakorintho 2 :11
12 Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.
1 Wakorintho 2 :12
13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.
1 Wakorintho 2 :13
USIKU MWEMA DAMU YA YESU IWAFUNIKE FAMILY[emoji1317] [emoji7]
Asante sana binamu yanguAsante aunt. Usiku mwema kwako