Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Yaani weweKwake huku huwa anabebishanaga na sakayo
Yaani weweKwake huku huwa anabebishanaga na sakayo
Na vile uko busy kukariri sasaUkitaka upendeke kwa Sakayo fungua vifungu vya Biblia
Hahahaaa
Shem Mungu anakuona ujue!!.Sakayo hanipendi
[emoji23][emoji23]Unataka kugundua nini lakini
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ujue nawazoom
Aya shem yaishe.... Nakupenda piaShem Mungu anakuona ujue!!.
Mie nakupenda saana babe ake shunie ndo maana niligundua uko na aibu kila tukikutana aki!!
Nisamehe kama kuna lenye nilifanya ukahisi sikupendi!! Mie nakupenda aki Shem!
nyamaza huko niambiwe ukwelKhaaaaa hivi umeulizwa
HahahahahaaaaYaani hii screenshot naiweka wallpaper kabisa mana sio kwa mahaba hayo ya Mwifwa
alililililiiiiiiiiiiiiiWa kwangu
Ahsante mama hakuna kupindisha maneno,full kujiachiaWa kwangu
kwanini shemAisee mood yangu yote imepotea na muda sio mrefu nawaaga
MmhHajakutambulisha jamani hata sredi ile hikuiona
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jaman sisi si ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ajue ye mbebez wake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Uwe makini lakini hii ina ushemeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaaaa wapi sakayoUsichoelewa ni niniii mbona wewe pia hueleweki jamani nani anataka kucheka cheka hovyo kama sakayo na kufwa na mahamu yake ebu niwache mie
Babe naumwa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
nasifungui ng'ooEti kafunga mdomo
hahahahaaa sasa huku tuachie sisiNakuona shemela wetu kipenzi hivi mlikutana wapi na moneytalk mpaka mkapendana au mambo ya usiku wa manane kwenye ule uzi
jaman shemeji uoga wa nini sasa akati unapendwaNilitaka kushangaa sasa jamani
akuu utamu wangu sikuli na mtu mwingineMfyuuuuuu niharibie nikuje kwako unimalizie hamu zangu we sababu uko na mbebez niharibie mama tugawane mwifwa