Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tunasafiri kwa wasi wasi, maana risasi za hewani zinapata watu
Poleni sana ila yanapita maana kilicho tokea nikakumbuka yule dereva wa daladala alie pigwa risasi na mkuu wa mkoa wa tabora kisa kikawa hakieleweki

Na nikakumbumbuka mwangosi pale nyororo naona vyote

Mungu atupe roho ya uvumilivu na kuyamaliza kwa amani
 
Bila kusahau ishu ya Ditopile kumtwanga shaba dereva wa hiace na life likasonga poa tu.

Hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom