Makapuku Forum

Makapuku Forum

Asante binamu ...japo kwa taarifa ambazo nazifanyia utafiti nasikia juzii yalikutokea ya kukutokea

Anko, fanya upelelezi kwanza ndo utagundua kuwa ya kunifika hayakunifikia niliyakwepa, unakumbuka kipindi kile unataka kusomewa albadiri na yule imam mwenye mke shombe shombe!, Basi nami niliiga mbinu zako
 
Na mim ndo maana ilinipa wakat mgumu kuamini eti binamu wangu mwenye mbinu zake chafu na safi anakamatwa na mke wa mtu gest na kupigwa kiboya boya wakati huyo mtu hata kwao na huyo binti hawamjui bora mm walishawah kunisikia ...

Anyway polee sana nahisi kuna ka ukweli na usipoacha kutembea na wake za watu watakukata siku moja ...hivi umejiuliza watakukata nini ??
 
Ujinga Na Ushamba Ni Kujiita Kapuku,aliyeanzisha Huu Uzi Hajielewi,,,,,hali Yakujiita Tu Kapuku Ni Tatizo Lakwanza Kujikomboa Kutoka Kwenye Ukapuku,,,ila Tutafika Tu Tunapoelekea!!
 
Ujinga Na Ushamba Ni Kujiita Kapuku,aliyeanzisha Huu Uzi Hajielewi,,,,,hali Yakujiita Tu Kapuku Ni Tatizo Lakwanza Kujikomboa Kutoka Kwenye Ukapuku,,,ila Tutafika Tu Tunapoelekea!!
Nakuchungulia
84b1bbe294bceba889220230df6aff6d.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom