Binamu acha hizo unajua siju hizi upepo kusi hauvumiii kabisaa kwangu ...kikauntaa changu si ulitokomea nacho wewe ...yana mwisho....hapana anko, wewe ndo ulianza. Me nilifanya Siri lakini wewe ukapata penalty ukatumia ukapteni kuipiga. Sasa inabidi tukibaliane tu, penalty napiga Mimi, wewe zako Kona.
Vipi kile kicounter book Cha zamu bado unakitumia? Au kilipojaa uliamua ufungue Excel file kabisa
Unaweza kuicheza?Naomba uniwekee
Asante sana Baba D imenifurahisha hiyo nyimbo

....afu utasikiaa ooh binamu hueleweki mara ooh binamu mzee oh shikamoo.
Haya semeni kingine , maswali ruksa povu leta nifulie
SiweziUnaweza kuicheza?
Mnamtafuta nini lakin binamu wangu??![]()
![]()
![]()
Shikamoo binamu
My pleasure....Asante sana Baba D imenifurahisha hiyo nyimbo![]()
Namsalimia tuuMnamtafuta nini lakin binamu wangu??
Namsalimia tuu
My pleasure....
Mnamtafuta nini lakin binamu wangu??
Komaaa kabisaaaNamsalimia tuu
Taratibuuuu binamuu......nimekumbuka tu ile bia ya Safari, eti safari moja moja huanzisha nyingine
Mimi kwa kweli wacha niongee machacheee.....wana lao wanatafuta, yaani hawa watu acha tu anko
Shikamoo binamuSalamu gani hiyo ngumu ngumu utasema unakojoa kichochoroni.
Ukitaka kusalimia shikamoo weka simu chini, simama na utabasamu halafu unabonyea kidogo unasema shkamoo binamu

Fanya mpango ukujeee ...aiseewh mutamuu mpaka rahaa unanipa mwenyeweBinamu ukienda jukwaa LA chini tafadhali tuletee makaveli10 wetu nyinyi ndo mlompeleka kule