Makapuku Forum

Makapuku Forum

TUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo. Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo ulio-kata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele AMINA.

SIKU NJEMA
 
14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitcasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

2 Mambo ya Nyakati 7 :14

15 Sasa macho yangu yatafumbuka, na masikio yangu yatasikiliza maombi ya watu waombao mahali hapa.

2 Mambo ya Nyakati 7 :15

16 Maana sasa nimeichagua nyumba hii na kuitakasa, ili kwamba jina langu lipate kuwako huko milele; yatakuwako na macho yangu, na moyo wangu daima.

2 Mambo ya Nyakati 7 :16
 
TUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo. Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo ulio-kata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele AMINA.

SIKU NJEMA
Shikamoo mama
 
Shikamooo mama mchuchu
 
Tafasiri Unavyotaka: Shiriki Bila Shuruti

Inawezekana nimeandika kichwa cha kipengele hiki kujumlajumla (sweeping generalization) sana kuonesha kuwa kila mmoja wetu anaweza kushiriki bila kushurutishwa. Ushiriki wa kitu chochote unaendana na sifa na vigezo vnavyokuhitaji kushiriki katika kitu husika. Kwa mfano, kitendo cha kupiga kura kinamuhitaji mtu mwenye umri wa kitaifa (miaka 18) na akili timamu kati ya sifa zingine. Kushiriki bila shuruti kunahitaji vigezo na sio kujitokeza tu maana hata msalagambo una vigezo.

Ukiwa na sifa stahiki na ukawa na uwezo wa kushiriki katika kufanya jambo la manufaa kwako binafsi na kwa jamii nzima basi ni vizuri ukashiriki kikamilifu. Kuna faida ya kufanya kitu kama hiki, kwanza nafsi yako utakuwa umeitendea haki na dhamira yako itakushukuru kila wakati kwa kufanya jambo zuri kwa jamii. Pili, wanaopita na kuona unachokifanya watajifunza na kuamua kutumia sifa walizonazo nao kuleta mabadiliko.

leo ni furahiday, kutafasiri unavyoweza hakukutaki utumie nguvu nyingi za misuli ya ubongo kutafasiri nilichoandika. ijumaa njema na tukutane Jumatatu, ikimpendeza Mungu
 
Muziki: Furahiday ya Mfungo

Kwaresma inaendelea na leo kiutaratibu (nimesoma mahali) hutakiwi kula nyama wala kugonga kilaji. Huo ndo utaratibu na ni vizuri ukaheshimiwa tusijifanyie tu kama mjomba wangu alivyoamua, nitakusimulia baada ya kukusalimia. Ninakusalimia kapuku mwenzangu na kukutakia wikend njema. Mimi sijambo, asante kwa kutouliza.

Mjomba wangu kafika toka Kilombero alikoenda kwenye Valentine na Valentina. Karudi kachangamka sana na nikamkumbusha mbona sioni majivu pajini wakati wewe na mimi ni washiriki wa jumuiya hii ya jirani. Nilichojibiwa ilibidi nikamate rozari niisome mwanzo mwisho. Nikamkumbusha anko Lyon Lee kuwa shanga za kwenye rozar ni tofauti na shanga za Zueda, zile zinazovaliwa kiunoni na wajanja watamaduni zinaitwa utunda. Mjomba akaghairi na kusema yeye kasilimu ila sio tasilimu bali nusu hadi kipindi kipite.

Muziki sasa, furahia wikend na nikutakie wikend njema

Ubarikiwe Obe
 
Asante Obe Ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom