Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kwani alikamatwa na kosa gani? Kubet
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...kwani alikamatwa na kosa gani? Kubet
Aliiba saa yako ya kuwaka waka.....kwani alikamatwa na kosa gani? Kubet
Nyama ya ulimi[emoji4] [emoji4] [emoji4]
MmhFrench kiss
Kwa hiyo mshiko umegawana na valentine wako kitu cha m 10 ?Sanaaa
Biko wanashawishi sana yaan hata kama wanakukula tu lakini lazima ushinde
[emoji23][emoji23][emoji23] unaniharibia mama yangu ushindwe mfyuuu....afu utasikiaa ooh binamu hueleweki mara ooh binamu mzee oh shikamoo.
Haya semeni kingine , maswali ruksa povu leta nifulie
Binamu waambie wajue wewe si wa mchezo....afu utasikiaa ooh binamu hueleweki mara ooh binamu mzee oh shikamoo.
Haya semeni kingine , maswali ruksa povu leta nifulie
Wimbo mzuri sana wa fally ipupa
Achana na hizo za m 10 me huwa nashinda za hapo kwa hapoKwa hiyo mshiko umegawana na valentine wako kitu cha m 10 ?
Yeth lottah@Yeth lotah alonso bado hajaachiwa?
French kiss
NaujuaWimbo mzuri sana wa fally ipupa
Ok ...nimekupataAchana na hizo za m 10 me huwa nashinda za hapo kwa hapo
Nisamehee sana... anko na wewe kuchanganya kifaransa na kiinglishi ndo nini. Aliyeelewa anitafasirie afu anitag
Aliiba saa yako ya kuwaka waka..
Napenda video yakeNaujua
Naomba uniwekeeNapenda video yake
Binamu waambie wajue wewe si wa mchezo
Najua leo sio zamu yake alafu binamu mbona tunafanyiana hivi?