Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Binamu...hapa Cha muhimu ni kuvaa kanzu kama ya nabii Tito tu , unakuwa huna haja ya kuhofia kitambi na usifunge mkwiju

Binamu...hapa Cha muhimu ni kuvaa kanzu kama ya nabii Tito tu , unakuwa huna haja ya kuhofia kitambi na usifunge mkwiju

Kubet umeaamia huko ?Niwekee binamu yaan biko kama wameniroga shunie mm
...hii aunt ndo ile ngao ya kwanza kabisa yaani ilitoka pamoja na tangazo la Ngetwa
hupokei simu zangu
Na mm nimejikutaa naiangalia mara 3 ingelikua na ubonge bhas mawazo yangelinipeleka chakaHii avatar yangu ndio unaiona leo eenh
Kikokotozi au....au simu yako ina screen kama calculator (joke)
Anamjua Transcend...huyu valentine ni member wa JF?
Ahahaa ila nimekuelewa sanaNa mm nimejikutaa naiangalia mara 3 ingelikua na ubonge bhas mawazo yangelinipeleka chaka
Biko nipo mda sana kubet nimeshindwa siwezi na sitawezaKubet umeaamia huko ?
Me mwenyewe simjui binamu...huyu valentine ni member wa JF?
Ahahaa ila nimekuelewa sana
nashukuru kama kweli naanza kuelewekaa kwako
Kidogo bado sanaaa nitakuelewa lakini na nitajua nani ni nani![]()
nashukuru kama kweli naanza kuelewekaa kwako
Kidogo bado sanaaa nitakuelewa lakini na nitajua nani ni nani
Sio babe...Anashangaa leo unamwita sakayo si unamwitaga wife au babe![]()
Wewe kama unataka Heineken tuu?Shemela shululu shikamoo
Kwani kuna nini shemela ?kwahiyo leo unakana mahandishi yako mara ngapi mnaitanaga humu na sakayo na kwenye thread nyingine humu chit chat Sakayo ebu ukuje pande hii
Ebu acheni kunivuruga kwa nini mnanifanyia hiviii jaman
Wewe ndio unanivuruga yaan sikuelewi mimi