Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Ngao ipii sasaNgao
Cc Obe
Ngao ipii sasaNgao
Cc Obe
[emoji3][emoji3][emoji3]Hata mimi simuelewi kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humjui au unatania? Tango na chumvi
Utamuekea na zile ndude...sema taratibu , ninamuandalia zawadi ya valentine , sitaki mtu ajui yaani ni sapurayizi
Nipo mbonaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjomba ako nimemuuliza swali kanipa like hajanijibu
Hivi binamu kwa mama mambo yalitikiii make sare yangu nahisi hainieneii tena na kitambi changu
Leo cio wkend binamu shikamoo riksaNakuangalia tu ba shikamoo zako za jioni utafikiri ngoma za kigodoro
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hata mimi ndo nayosamaga, kumbe Kanumba alikufaga!? Nimeshangaa sana
Kumpa shikamoo Baba wawiliVipiiii na mimacho yako
Niwekee binamu yaan biko kama wameniroga shunie mmHa ahahahahaha, pole. Ngoja nikuwekee muziki upoze maumivu
Ndio nimempa shikamoo aje ajioneeKumpa shikamoo Baba wawili
[emoji57] [emoji57] [emoji57]...sema taratibu , ninamuandalia zawadi ya valentine , sitaki mtu ajui yaani ni sapurayizi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hata mimi ndo nayosamaga, kumbe Kanumba alikufaga!? Nimeshangaa sana
Utamuekea na zile ndude
Si useme tu kuwa umecheka hadi umejamba[emoji1] [emoji1] sio unazuga eti umepiga chafya.....hanahahhahaha! Mjomba nimecheka sana Hadi nikapiga chafya maana nimekula makande
Kwani umeahirisha kwa mama yetu BH
Niwekee hiyo nyimbo basi kabla sijalog out mida imefika...zile hazikosekana, nilikuwa na mpango wa kumtafutia used lakini nimeona mpya zitampendeza zaidi. Azichane mwenyewe kwenye railoni.
Na wewe unazipendaga?
Si useme tu kuwa umecheka hadi umejamba[emoji1] [emoji1] sio unazuga eti umepiga chafya
Niwekee hiyo nyimbo basi kabla sijalog out mida imefika