Makapuku Forum

Makapuku Forum

8e68645c72becce49e3dc9448aa30e1c.jpg
 
Asante sana anko wangu wa ukweli Lyon Lee kwa magazeti, unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu bora kabisa kuwepo, unalijua hili na siatchoka kukwambia wakati wote.
Ni jambo zuri kukuona Transcend hapa, naamini January ilikuwa nzuri kwako. Tumosa uliposoma magazeti ni gazeti gani lilikuvutia?
 
Tafasiri Unavyoweza: Kabla ya Kutii Mamlaka Jiulize Kwanza

Kama kawaida tunakutana tena hapa kwenye kipengele ambacho unaruhusiwa kutafasiri unavyoweza, yaani hapa ni kama chuo kikuu, mawazo yako yanaheshimiwa hata kama yanapingwa. Hakuna mtu anayejua kila kitu kwa hiyo hata kwa kile ambacho umebobea na akaja barubaru kukieleza muheshimu utajifunza kitu.

Kufuata sheria ni jambo si tu la lazima bali ni la msingi. Kwa sheria ndipo mimi na wewe tunakutana hapa na kubadilisha mawazo, bila sheria kila kitu kingekuwa shagalabhaghala, isingekuwa tu potelea mbali bali uungwana usingekuwepo maana binadamu ni wanyama na kadri unavyopata moja ndo hamu ya kupata mia inakuja. Sheria ni muhimu ifuatwe.

Kufuata sheria ni jambo la muhimu, hakuna ubishi kwa hili japo kama raia mwenye akili timamu ni lazima ujiulize hii sheria ni halali na inawamulika wote? Au ni sheria inayomuangazia mmoja na kumwekea giza mwingine. Siongelei sheria kandamizi peke yake naongelea sheria pendeleo pia. Sheria pendeleo ni ile ambayo inaonesha upendeleo wa wazi kwa mtu au kikundi cha watu ilhali ikiwazibia wengine haki ile ile wanayoipata wao.

Kwa mantiki hii basi, unapotii sheria na ninasisitiza utiifu wa sheria, ni lazima ujiulize hii sheria ni sheria kweli au dhamiri yako inakutuma kuwa sheria hii ina walakini kwa kutoa upendeleo wa wazi au watekelezaji wa sheria hii kuona kenda na kujidai hawaioni kumi.

Ukiona dhamira yako inakutuma na kukuelekeza kuwa sheria fulani au watekelezaji wa sheria fulani wanakosea na ukajiridhisha kichwani kwako hata ukiwa mmoja basi una haki ya kutoitii sheria hiyo. Ndiyo utaingia matatizoni na watekelezaji wa sheria lakini kwa wote wenye kujifikiria na kusikiliza hoja yako watatambua kuwa wewe ndo raia mfuata sheria na unaitii. Tafauta maarifa na tafasiri unavyoweza.
 
Shikamoo binamu
 
Binamu shikamoo naomba nyimbo ya rayvanny chuma ulete
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom