Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Mheshimu Anayekujengea Kujiamini

...u khali gani Kapuku mheshimika, natumaini ulikuwa na wikend nzuri na hasa kama wewe ni shabiki wa Manchester United na Arsenal na kwa Kujiamini ulibet 🙂. Mimi wikend ilikuwa nzuri sana maana "zis iz Simba bhana" tulifanya yetu pale tuliposimamia shoo ya bao nne.

Nimefurahi leo kiukweli tangu mornie pale nilipomsoma anko wangu Lyon Lee akituletea magazeti. Ujue anko alinilalamikia kuwa auntie Shunie ambaye ana app ya kubet, mkeka umetakata na alipovuta mpunga basi simu akaweka silence, ukipiga hakusikii, labda utume meseji. Hongera kwa wote wenye ujasiri wa kubet. Mheshimu sana aliyekujengea uwezo wa kujiamini kubet.

Muziki sasa, burudika na ngoma hii kuusindikiza usiku wako.

BTW, nimefurahi kukuona tena BlessedHope na kesho kutwa ndo VD, nakutafutia zawadi, nitawajulisha wote wanaosema kwa namna navyokufuatilia Basi nastahili phd


HV bado hujampata tu huyo BH?!!!
 
Binamu bhanaaa lakini ndo binamu wangu wa faida japo jana kalala miguu 6 make alianziaa sehemu akamalizia sehemu japo anapendaga kuwa zile sehemu za siri siriiiii ....

Nakusalimia kapuku mheshimika make wewe ndo unalifanya hili jukwaa kuwa la kipekeee ...hapa najua mtajiuliza kaandika nani lakini ndo hivo ni mimi mwenyewe Obe ...soon magazeti msevu 500
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom