Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Nimeifuta kweliJaman kibonge sema ukwelii
Nimeifuta kweliJaman kibonge sema ukwelii
Amenipiga lakini sina nilichoelewaMwl rasiii money hakukupiga tution ??
Hiyo zawadi iwe mahela basi jamanAiseee jifutie mwayego, usije ukawa lijambazi huko mbeleni.
Mimi umenifurahisha kweli, ngoja nikutafutie na zawadi kabisa!
Kibonge mwenye wepesi wake yaan
Hiyo zawadi iwe mahela basi jaman
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseee jifutie mwayego, usije ukawa lijambazi huko mbeleni.
Mimi umenifurahisha kweli, ngoja nikutafutie na zawadi kabisa!
Kibonge haswaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kibonge awe mfupi,
Akivaa na yale madera mekundu anakuwa kama mtungi wa Oryx......
(Hili jungu nililikuta some where mtandaono, nilicheka sana)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msitufanyie hivyo hatujajiumba wenyeweSasa kibonge awe mfupi,
Akivaa na yale madera mekundu anakuwa kama mtungi wa Oryx......
(Hili jungu nililikuta some where mtandaono, nilicheka sana)
Me kwakweli zawadi nachagua haya mambo ya kutochagua zawadi utaletewa vitu ambavyo hupendi umetaja mapera nimekumbuka jana kanisani kulikuwa na mapera makubwa 3 aseee makubwa kama embe kwenye harambeeHata Mapera zawadi, usichague bwana!
Kwani kuwa kibonge ni sababu ya shibe nzuriBasi ana shibe nzuri huyooo!
Mimi nia vyuma hivi nimebaki mifupa tu!Kwani kuwa kibonge ni sababu ya shibe nzuri
Me kwakweli zawadi nachagua haya mambo ya kutochagua zawadi utaletewa vitu ambavyo hupendi umetaja mapera nimekumbuka jana kanisani kulikuwa na mapera makubwa 3 aseee makubwa kama embe kwenye harambee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msitufanyie hivyo hatujajiumba wenyewe
mbona hata mimi nimeipokeaPole mwenye nayo kaipokea