BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Haloooo LeeGood morning kapuku
Haloooo LeeGood morning kapuku
Sishangazwi na kutokuwepo mtu hapa, nashangazwa na ukimya tangu asubuhi.
Najiaminisha wikend ni motomoto 🙂

PoaaMambo
Mama mchuchuuùuuuuuu ....Haloooo Lee
...hakuna ubaya kupita mbugani, au mnataka mambo mazuri muwe mnafahamu nyinyi tu. Na siku nitamuunganisha na BH aje angalau afanye utalii wa ndani

Ubarikiwe SHIMBA
Mama shikamoo
Mzima wewe ??Khaaaaaa
Mzima sana sijui weweMzima wewe ??
Vipi jana umepiga Sh ngapi ???Khaaaaaa
Mimi mzima kabisaaaMzima sana sijui wewe
Na app nimeshaifuta jaman sijashinda wala sijui kubetVipi jana umepiga Sh ngapi ???
Nitag chiefVipi jana umepiga Sh ngapi ???
Una nini lakiniii sijajua kubet mmNitag chief
Jaman kibonge sema ukweliiNa app nimeshaifuta jaman sijashinda wala sijui kubet
Mwl rasiii money hakukupiga tution ??Una nini lakiniii sijajua kubet mm
Aiseee jifutie mwayego, usije ukawa lijambazi huko mbeleni.Na app nimeshaifuta jaman sijashinda wala sijui kubet