Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,515
- 94,658
![]()
![]()
![]()
![]()
But sijakusalimia ...good morning dear

![]()
![]()
![]()
![]()
But sijakusalimia ...good morning dear

Na nakujua usije pandisha hasira hapa kila mmoja akala vyake vibaoMweh, msinichanganye mie!
Siwezi kuja huko usije sepa na Prado ukamtelekeza tenaMa nkubwa hasikupe shidaa
Punguza hasira mbona mi zimepungua nimeamua niwatafuteMweh, msinichanganye mie!
Sijatumwa ila Mamkubwa kaniambia ulisepa na Mali zote na ukumbuke mi huwa nakutetea kwenye michepuko mama asijue ila kumbe umeamua na kumkimbia kabisaWee litoto umetumwa na ma nkubwaa
Taratibuuu bhasiiiii ....yataishaaaSijatumwa ila Mamkubwa kaniambia ulisepa na Mali zote na ukumbuke mi huwa nakutetea kwenye michepuko mama asijue ila kumbe umeamua na kumkimbia kabisa
Tengeneza nije hapo home
Mi sili vibao nakula ugaliNa nakujua usije pandisha hasira hapa kila mmoja akala vyake vibao
Mkimalizana mniambie nije msipo fika mwafaka sijiTaratibuuu bhasiiiii ....yataishaaa
Ndo na ww usaidieeMkimalizana mniambie nije msipo fika mwafaka siji
Mi sihusiki hapo maana mlinitimua kwa kusaidiana mkiona mi sina maana leo unataka nikusaidieNdo na ww usaidiee
Mi sihusiki hapo maana mlinitimua kwa kusaidiana mkiona mi sina maana leo unataka nikusaidie
Pambana na hali yako
Mkimalizana mi nakuja

Kila la kheri!Punguza hasira mbona mi zimepungua nimeamua niwatafute
Inategemea na sehemu ya kuwakilishwaSio mara zote lazima uwepo! Wkt mwingine unawakilishwa tu!
Wewe unataka kuwakilishwa wapi?Inategemea na sehemu ya kuwakilishwa
Yupiii huyo anko wako ninayempendaga...ha ahaahaahah, sijui hata niandike nini hapa, sio kwa heshima hiyo niliyoiona. Inanikumbusha anko wangu yule unayempendaga
Jaman me sitaki kuwakilishwaWewe unataka kuwakilishwa wapi?
Matumaini yangu umeamshwa salama kabisaYupiii huyo anko wako ninayempendaga
Binamu shikamoo
Sijambo Lyon habari ya weweMatumaini yangu umeamshwa salama kabisa