Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
[emoji8][emoji8][emoji8] tantee Lyon unakoga makiss leo kwa kunikosha huyo mdada najikuta mimiii. [emoji7][emoji7]Mziki wa mdhamini;
Kibonge cheupe hebu enjoy
[emoji8][emoji8][emoji8] tantee Lyon unakoga makiss leo kwa kunikosha huyo mdada najikuta mimiii. [emoji7][emoji7]Mziki wa mdhamini;
Kibonge cheupe hebu enjoy
Binamu jaman santeee [emoji7][emoji7] umejuaje hiyo ringtone yangu simu zangu zoteMuziki wa Mdhamini: Ringtone ya Aunty
Aunt yangu mnayemjua humu kaweka ringtone wimbo huu yaani majirani hatulali maana simu yake ya kichina ina spika nne na twita. Yaani akibipiwa hapokei hadi muziki uishe. Usim-beep fanya kum-deep
Upende usipende utaamka kusikiliza
Tufurahi pamoja
Asaanteeee mama d ...hakika leo umefurahi[emoji8][emoji8][emoji8] tantee Lyon unakoga makiss leo kwa kunikosha huyo mdada najikuta mimiii. [emoji7][emoji7]
Sanaaa jamanAsaanteeee mama d ...hakika leo umefurahi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Sanaaa jaman
Mbona una heshima hivi za ghafla jaman mpaka naogopa[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hapana mama d kuwa na amani kabisaMbona una heshima hivi za ghafla jaman mpaka naogopa
Sawa baba d sijui baba d mdogo sijui mkubwa hata sijui najionea mashkolo tu hapa ngao ya maji na ya kidongeHapana mama d kuwa na amani kabisa
Usiku mwema na kwako ...Mungu akuongozeSawa baba d sijui baba d mdogo sijui mkubwa hata sijui najionea mashkolo tu hapa ngao ya maji na ya kidonge
Uwe na usiku mwema kwako acha nilale
Usiku mwema na kwako ...Mungu akuongoze
Binamu binamu ujuee huu mwakaa mpyaaa...ulivyoandika kwa adabu utasema nabii Tito anaongea na shehe Mussa
Mbona una heshima hivi za ghafla jaman mpaka naogopa
Sio mara zote lazima uwepo! Wkt mwingine unawakilishwa tu!Aniwakilishe kwani me nimekufa najitaka nijione mwenyewe
Mimi Sina shida ila nataka tukutane tuzungumzeEbhu mueleze shida zako zote ..
Wewe si ulikimbia nyumbani?Mimi Sina shida ila nataka tukutane tuzungumze
Ndio ila nataka niwaletee hii Prado niliyo kuwa natumia nimenunua gari nyingine sasa nimeona we na hali kavits kako kamepitwa na wakatiWewe si ulikimbia nyumbani?