Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Madini yapiii mbona sikuoni au kule una i'd nyingine...huwa sichungulii aunt, naingiaga namwaga madini kabisa.
Madini yapiii mbona sikuoni au kule una i'd nyingine...huwa sichungulii aunt, naingiaga namwaga madini kabisa.
Utabishaaa tuuSio wewe ni lyon
Una kesii kubwa sana...huwa sichungulii aunt, naingiaga namwaga madini kabisa.
Hakuna namna mana niliambiwa jf umeshaisahau kabisaUtabishaaa tuu
Nimesomaa mara 3 sijioniii
Roho mbaya yako mbona hiniitii nikafaidiii tuvipendavyooo
Watampunguzaa obe binamu
Hivi na mimi sipo kwenye list ebu ngoja nirudie kusoma....unajua sababu ya kutojiona kwenye list?! Wewe ni mwandamizi humu, jina lako linakaa pamoja na la aunty, ndo maana hata yeye hujamuona.
Ukisahaulika wewe si itakuwa kama umeanzishi Vita ya anko gwajima na dada mange
Ye hapendagi mambo za kule atuache tu kwakweli...kule anko mimi mwenyewe sijui nilifikaje, hebu ongea na aunt akuelekeze
Hivi na mimi sipo kwenye list ebu ngoja nirudie kusoma
Kumbe kweli na me sipo acha nipake mkorogo nimezidi sana kuwa mweusishululu , Tumosa , Sakayo , BlessedHope , Bitoz , husna muba , Transcend , Clkey , SHIMBA YA BUYENZE , Da'Vinci , Werrason , Jimena , dumejeuri , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , koncho77 , ABJ , demi , Valentina , Mkushi wa kusi , Alfa Mwijumbe , makaveli10 na wewe unayesoma sasa, sina haja ya kuita jina lako kukukaribisha hapa, maana nyumbani hukaribishwi
Sasa binamu maksudi yako ni nini kutoniweka ebu naomba nyimbo niliyochagua jana naipenda mimi nidja rally na r kelly sitaki sababu binamu sijui kwa nini na leo nachagua naipenda hii nyimboHaupo, Mimi nina makusudi si kidogo maana nina sababu ya kutokukutaja
Lakini keshonni ijmaa....unajua sababu ya kutojiona kwenye list?! Wewe ni mwandamizi humu, jina lako linakaa pamoja na la aunty, ndo maana hata yeye hujamuona.
Ukisahaulika wewe si itakuwa kama umeanzishi Vita ya anko gwajima na dada mange
Anasema pamejaaa sijuii...kule anko mimi mwenyewe sijui nilifikaje, hebu ongea na aunt akuelekeze
...wasithubutu, nitaenda kuwasema kwa dada Mange, please hide my id
hiyo vita ntakuwa msomajiii