Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Chikamoo ankoshululu , Tumosa , Sakayo , BlessedHope , Bitoz , husna muba , Transcend , Clkey , SHIMBA YA BUYENZE , Da'Vinci , Werrason , Jimena , dumejeuri , mzeewakungoa , Mndali ndanyelakakomu , koncho77 , ABJ , demi , Valentina , Mkushi wa kusi , Alfa Mwijumbe , makaveli10 na wewe unayesoma sasa, sina haja ya kuita jina lako kukukaribisha hapa, maana nyumbani hukaribishwi

