Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mwehuui weweKumbe kweli na me sipo acha nipake mkorogo nimezidi sana kuwa mweusi
kwamba ssi weusiii ndo hatuonekani
Mwehuui weweKumbe kweli na me sipo acha nipake mkorogo nimezidi sana kuwa mweusi
kwamba ssi weusiii ndo hatuonekani
Zimefika 3Hii kesi ina dhamana, anko!?
Wewe na dogo naona tuwaweke chumba kimojaaa make kila nikimpigia nasikia huo wimboSasa binamu maksudi yako ni nini kutoniweka ebu naomba nyimbo niliyochagua jana naipenda mimi nidja rally na r kelly sitaki sababu binamu sijui kwa nini na leo nachagua naipenda hii nyimbo
Wewe na dogo naona tuwaweke chumba kimojaaa make kila nikimpigia nasikia huo wimbo
Lakini keshonni ijmaa
Jirani yako kakuwakilishaHivi na mimi sipo kwenye list ebu ngoja nirudie kusoma
We siupendagi mambo za matusi jamanAnasema pamejaaa sijuii
Weusi umetuzidi tungekuwa na virangi kidogo angetuweka kwenye list yakeMwehuui wewe![]()
![]()
kwamba ssi weusiii ndo hatuonekani
Naipenda sana hiyo nyimbo jaman binamu niwekeeWewe na dogo naona tuwaweke chumba kimojaaa make kila nikimpigia nasikia huo wimbo
Aniwakilishe kwani me nimekufa najitaka nijione mwenyeweJirani yako kakuwakilisha
Hayo ndo manenooo...yeah, kesho ndo siku ya kukokongoroa mwili kabla Ijumaa ya majivu haijafika
Weusi umetuzidi tungekuwa na virangi kidogo angetuweka kwenye list yake

Unaenda wapi sasa
Tanteeeee binamuMuziki: Nguvu ya Dhaifu
Kama kuna makosa ambayo yalikuwa na faida ni kwa wengi kuwadharau wachache, wakiwaona kuwa wachache ni dhaifu kuzidi wengi na hivyo wengi watafanya wanavyotaka. Mnyonge kanyimwa nguvu ya kukupiga tu ila misuli ya mdomo wake haichoki kusema kuwa unahitaji kupunguza ubabe wako na kumsikiliza mnyonge. Ninakusalimia sana kapuku mheshimika, nafurahi kukuona hapa na zaidi wewe Slim5 , Yeth lottah (hivi wewe kama unaweza kubet mbona sikukuona kwenye forex, joke), Malcom Lumumba karibuni sana wadau, hapa ni sehemu nzuri mkiwepo.
Nguvu ya mnyonge huishi miaka mingi maana huwa haishii kusema tu kwa mdomo, huandika pa na maandishi yanaishi siku zote. Unakumbuka kwenye zama za kutaka kuwepo kwa vyama vingi nchini, wengi waliwakataa wachache/wanyonge lakini kumbe wengi walifanya maamuzi wakiwa wamenyong'onya (lazy thinking). Matokeo tuliyaona, wachache wape na ndo tunaishi na demokrasia ya wachache, wengi wanafuata na kubadilika itachukua muda.
Muziki sasa, anko wangu kwa sasa ni kama kachanganyikiwa yaani kule kanda ya kaskazini alikoenda amejikuta anakumbuka utamu alioucha kwa aunt yangu, yaani kachanganyikiwa, anarudi kwa aunt yangu, nimefurahi na nyie endeleeni kumuombea, atubu.