Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Binamu asante kwa maneno kuntu
..shukrani mjomba, najua uko tight na YOB ndo maana hutupii madini humu kama mwaka jana, basi ukipata muda japo makinikia (magwangara) yatafaa maana tumekosa UF, Falsafa na mengi tu, you noo wara amu seying'i