Yeth lottah
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 1,405
- 2,229
Namtania tu mjombaAnko wangu kawa babu seya tena
Namtania tu mjombaAnko wangu kawa babu seya tena
Usimuite namuogopa yaan nikiona tu i'd yake nakuwa mpole ghaflaBado huamini kwamba yule siyo mimi ???
Au nimuite ate hapa tuthibitishe ???
Leo nimeambiwa kuwa mimi ndiyo Mussolini5 na mwingine akasema mimi ni Zitto Kabwe!
Nani uyo nimtest na mimiUsimuite namuogopa yaan nikiona tu i'd yake nakuwa mpole ghafla
Mmmh! Huko sio kunigawa, ni kunitelekeza!Nakugawa kwa jirani yako
Sawa rafikiNamtania tu mjomba
Yaan yule moto wake kama wa Connor hata wewe humuingiiNani uyo nimtest na mimi
Nashukuru leo nimekuja upande hiziSafi kaka sijui za uko kwako
Ndio kuzuri huko unapambana na hali yakoMmmh! Huko sio kunigawa, ni kunitelekeza!
SawaNashukuru leo nimekuja upande hizi
Asante wapi tumosaSawa
Yule simuwezi. Yule yuko serious sana! Mi masihara mengi!Ndio kuzuri huko unapambana na hali yako
Nami anko kwa heshima kabisa natambua uwepo wako, nilitaka kumpa dawa ya kubet aunt yangu, ile dawa iliyofanya ukapata 'mke' kariakoo. Unakumbuka? Maana ilikuwa ukibet unamla tu muhindi akaona isiwe shida



Kwani ni mchumba tu kama wolper mwambie aje nijilipue mabomu tuone Battle kama huu Uzi haujafutwaYaan yule moto wake kama wa Connor hata wewe humuingii
Binamu asante kwa maneno kuntuTafasiri Unavyoweza: Utengano ni Udhaifu
...umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu. Na kwa tafasiri sisisi ya kiingereza tulisema, unity is strength, disunity is weakness, hizi zilikuwa zile enzi za kundi la umri wangu ambalo shule za chekechea (kindergarten) ziliitwa vidudu na ni shule za masister tu ndo walikunywa uji, wengine saa nne mnarudi nyumbani na wenzenu wanaingia, tuliwaita wa saa nne makombo. Nimekumbuka kitu, tafasiri unavyoweza.
Inataka kuonekana sasa kuwa kama ni kawaida, mazoea. Vipo viashiria vingi tu ambavyo vinaonesha kuwa tunaanza kujitenga kisa tu tunatofautiana kiitikadi za vyama vya siasa na kiimani. Hii si afya ya taifa na jamii inayotaka kuendelea. Kumbuka tu kuwa jamii inayokinzani ndiyo huwa na uwezo wa kuendelea. Hatuwezi kuwaza mamoja, hata mapenzi hayako namna hii, itakuwa nchi na watu wake!!!!. Tafasiri unavyoweza.
Tunapotofautiana kimtizamo kama taifa maana yake nini? unaweza kutafasiri unavyoweza, hili halina ubishi. Tunajenga nyumba moja hatuwezi kugombania kunyang'anyana fito. Nchi hii ni yetu sote na kama ni yetu sote kwanini ionekana sasa kuwa ukipingana na uutawala uliopo wewe si mzalendo!? Huu hautakuwa utawala wa kwanza kuwa na upinzani na hautakuwa wa mwisho, upinzani umekuwepo tangu enzi za chama kimoja, soma pata taarifa sahihi. Upe ubongo wako kazi.
Tafasiri unavyoweza, nataka tu nikukumbushe kuwa UNFPA wanasema mwaka 2038 tutakuwa Watanzania milioni 90, wenzetu wanaona mbali na kupanga namna ya kusaidia ongezeko hili la idadi ya watu, sisi bado tuangombana na itikadi za vyama na kutaka kujitanabaisha chama hiki ni bora zaidi ya hiki. Nchi huru hii, tafasiri unavyoweza, umoja ni nguvu utengano hauwezi kukufanya uwe na nguvu hata siku moja
Nami anko kwa heshima kabisa natambua uwepo wako, nilitaka kumpa dawa ya kubet aunt yangu, ile dawa iliyofanya ukapata 'mke' kariakoo. Unakumbuka? Maana ilikuwa ukibet unamla tu muhindi akaona isiwe shida
kwani story ya kariakoo nan alikwambiaaKwani ni mchumba tu kama wolper mwambie aje nijilipue mabomu tuone Battle kama huu Uzi haujafutwa
Usimuite namuogopa yaan nikiona tu i'd yake nakuwa mpole ghafla
Itabaki history mkuu amini nakuambiaHa hahahaha, kwamba Makapuku ifutwe
![]()
Real binamu sasa mwingine copyHa hahahaha, kwamba Makapuku ifutwe
![]()