MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,450
- 69,306
Nitauliza wawili wa3 nione mpo sawa ndio sijui nitajua liniHahahahaha bhasi kwenye matokea uwe unaniulizaaa ila ukishindaa usinambieee
Tuko salamaaaaJamani mko poa hapa
Sasa mm kumenishinda halaf sijui kwa nini napaogopa casino nilishaambiwa nipelekwe nikakataa kabisa yaan casino nazipitaga tu kwa njeTeh teh teh teh,
CASINO hawaingiagi watoto....
Zile ni za wazee wanaopenda kubet kama wewe!
Alafuu huu mchezo unaanzaga kwa kushindaAcha kabisa mkuu!
Sitaki kukumbuka kabisaa!
Aje kufanya nini tena nilichoona natakiwa niwe na mtu karibu anielekeze vizuriMuitee tena
Sitaki hayo maombi yakoUchezee salamaa
Tupo salama mkuu!Jamani mko poa hapa
Tupo poa za weweJamani mko poa hapa
Aje kufanya nini tena nilichoona natakiwa niwe na mtu karibu anielekeze vizuri

Sasa mm kumenishinda halaf sijui kwa nini napaogopa casino nilishaambiwa nipelekwe nikakataa kabisa yaan casino nazipitaga tu kwa nje
marahabaab.. love you daughter.Shikamoo baba
Mie sijambo dearTupo poa za wewe
Mana unaniombea nijue kucheza nikiliwa ufurahi
Asante rafikiRafikiii nimekuham.....
Aiseee kumbeHizi bongo ziko salama sana mnacheza tu kamli mnasepa,
Kuna Casino ziko mbele unaweza ukaingia ova zina mapepo yani.
Ukishaanza kwenda huwezi kuacha...
Alafuu huu mchezo unaanzaga kwa kushinda
Yaan ivuga unapenda ukubwamarahabaab.. love you daughter.