Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaha,
Mimi kuna Mjomba wangu walimfukuza kabisa Wahindi fulani hivi.
Alikuwa akiingia kwenye yale mamashine hashindwi kutoka na mapesa.
Wale wahindi walikuwa wakimwona anakuja walikuwa wanafunga milango wanamzuia asiingie!
Sijui alikuwa mchawi yule jamaa yaniii
hao watu wapo na wanejenga na wana maisha mazuri kwa kubet
 
He was a milionaire aisee!
Nakumbuka aliwatapeli sana Wahindi kipindi kile cha Kusakwa wahujumu Uchumi.
Wahindi walikuwa wanakuja kuficha vitu vyao kwenye Go-down lake na kufukia kwenye shamba lake.
Jamaa alikuja kuwaruka wale Wahindi, Mwinyi anakuwa Raisi jamaa ashakuwa tajiri mkubwa sana.
 
respect kwakee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom