Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nakuombea sanaaYaan nilikua serious nilijisajili sportpesa nikaambiwa wanakata kodi kama DCM la mbagala nikaambiwa niingie mbet ndio nikashindwa kuelewa darasa app bado ninayo sijaifuta
Nakuombea sanaaYaan nilikua serious nilijisajili sportpesa nikaambiwa wanakata kodi kama DCM la mbagala nikaambiwa niingie mbet ndio nikashindwa kuelewa darasa app bado ninayo sijaifuta
Me vyuma kwangu havijakaza wala hakuna dalili ya kukaza nataka nijue tu huo mchezo kucheze nipate mahela mbona biko nacheza
Uzeeni ndo kuna utamu ujueeSiwezi kuingia kama nilishindwa ingia enzi za ujana na uzee huu siwezi
Majibu nitapewa jana kuna rafiki humu aliyenifundisha alinipa majibu ya team nyingi tu sitaumiza kichwa nikijua tu naomba majibuNakuonea huruma kuumiza kichwa mara nan ashindee na uanze kufatilia mechii au unabet za man u
Una siriii nzitoooHahahaha,
Kwani unadhani kufunga madishi mpaka viwe vimekaza ???
Yaani ukishaanza kubet utaona kila hela ni kubwa duniani, hata kama una milioni mia mfukoni.
Kamali ni hatari sana mazeee, sitaki hata kukumbuka kabisaa...

Hahahahahha mkuuu ebhu kuwa siliasiii make hapa nimepiga picha kibonge shunie yuko juu ya paa la nyumba anacheza na satellite finder
Sijui kama ataweza kuja tena masikini watu wameniharibia jana mwenzao nilikua serious![]()
![]()
![]()
muite mwalimu nipige chabo
Unaniombea nifanye nini sasaNakuombea sanaa
Hahahahaha bhasi kwenye matokea uwe unaniulizaaa ila ukishindaa usinambieeeMajibu nitapewa jana kuna rafiki humu aliyenifundisha alinipa majibu ya team nyingi tu sitaumiza kichwa nikijua tu naomba majibu
Hahahaha,
Kwani unadhani kufunga madishi mpaka viwe vimekaza ???
Yaani ukishaanza kubet utaona kila hela ni kubwa duniani, hata kama una milioni mia mfukoni.
Kamali ni hatari sana mazeee, sitaki hata kukumbuka kabisaa...

ebu niache mimiSiwezi kuingia kama nilishindwa ingia enzi za ujana na uzee huu siwezi
Muitee tenaSijui kama ataweza kuja tena masikini watu wameniharibia jana mwenzao nilikua serious
Uchezee salamaaUnaniombea nifanye nini sasa
Uzee wangu huu me umeishia kwenye beer tu mambo yote nimeshaachana nayo enzi za usichanaUzeeni ndo kuna utamu ujuee
Shikamoo babamakapuku wote niamkieni mimi baba yenu
Teh teh teh teh,
CASINO hawaingiagi watoto....
Zile ni za wazee wanaopenda kubet kama wewe!
bora umemuwekaa wazii

Yangu masikioUzee wangu huu me umeishia kwenye beer tu mambo yote nimeshaachana nayo enzi za usichana